Raia akamatwa na Polisi wa Uganda kwa kumiliki vifaa na zana za Uchaguzi

Raia akamatwa na Polisi wa Uganda kwa kumiliki vifaa na zana za Uchaguzi

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Polisi nchini Uganda wamemkamata raia mmoja pamoja na wafanyakazi wawili wa Tume ya Uchaguzi kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya uchaguzi, ikiwemo fomu 862 zenye taarifa muhimu za wapiga kura na fomu 83 zinazorekodi wasimamizi wa uchaguzi waliopokea vifaa hivyo.

Aliyekamatwa ni Matovu Micheal, mwanafunzi wa Taasisi ya Uuguzi na Malezi ya Afya ya Mityana, ambaye alidai kuwa jukumu la kuchukua fomu hizo alipewa na kaka yake, Kazibwe Sunday Godfrey, pamoja na Kasaana Fred, wote wakiwa wafanyakazi wa Tume ya Uchaguzi waliokamatwa pia.

Wafanyakazi hao wanakabiliwa na mashtaka ya kupuuza majukumu na kushindwa kulinda mali za serikali.

Uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika Januari 15, 2025, ambapo Rais Yoweri Museveni wa NRM atagombea upya kiti cha urais akichuana na Bobi Wine wa NUM kwa mara ya pili.

-----------------------------------

ugg.png
Police in Mityana District have arrested two Electoral Commission (EC) staff members and a civilian over alleged neglect of duty and unlawful possession of government electoral materials, as authorities heighten scrutiny ahead of the 2026 general elections.

According to the Wamala Region Police spokesperson, SSP Lameck Kigozi, the arrests followed intelligence received on January 4, 2026, by the Mityana District Police Commander, SP Tyson Rutambika, indicating that a man was unlawfully issuing voter location slips in Kibati, Buswabulongo, within Mityana Municipality.

“The intelligence indicated that a civilian was in possession of voter location slips and official issuance forms, which raised immediate suspicion,” SSP Kigozi said, noting that electoral-related intelligence is treated with urgency due to the sensitivity of the period.

Police alerted the District Returning Officer, who joined an investigative team led by Detective Assistant Inspector of Police Juma Godfrey to track down the suspect.

The team arrested Matovu Micheal, a student at Mityana Institute of Nursing and Midwifery, who was found in possession of 862 voter location slips and 83 official issuance forms. He was taken to Mityana Central Police Station for interrogation.

During questioning, Matovu reportedly admitted that he had been irregularly assigned to distribute the voter location slips by his brother, Kazibwe Sunday Godfrey, an Electoral Commission supervisor for Bulera Subcounty.

He further alleged that the assignment was carried out with the knowledge of Kasaana Fred, another EC supervisor responsible for Misebe Parish in Bulera Subcounty.

Police subsequently arrested Kazibwe and Kasaana. The two EC officials face charges of neglect of duty and failure to protect government stores.

Source: Nile Post
 
Back
Top Bottom