Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuonewa kwa Raia ndiyo kukoje hadi useme kwamba Raia hawajawahi kuonewa?Raia hajawahi kuonewa na haitokaa itokee!
Kwa mfano mtu amekutana na OCD au RPC na huyo OCD au RPC akamtukana ama kumshambulia, jee raia huyo anatakiwa afanye nini ili aweze kumshtaki huyo OCD au RPC? Na jee RPC atashtakiwa kama mtu binafsi ama kama Polisi?
Jee Polisi wakivamia mahali kinyume cha sheria na kuanza kupiga watu bila ya sababu, jee polisi hao wanaweza kushtakiwa na mlolongo wa kuwashtaki unaanzia wapi?
Jee Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanayo mamlaka ya kuwaamrisha Polisi kufanya kazi za upolisi kwa mujibu wa sheria. Jee maagizo yao yakileta madhara wanaoshtakiwa ni Polisi ama ni Wakuu wa Wilaya na Mikoa.
Yalitakiwa yawe mangapi ndugu yangu!!Maswali yako ni mengi mno...
Yalitakiwa yawe mangapi ndugu yangu!!
Wewe chagua moja la kujibu halafu mjadala uendelee!Moja moja.
Sio kwa hawa police wa TanzaniaInawezekana kikubwa isiwe ni majungu au mmegonganishwa huko guest.
Daima haki ina asili ya weupe.ukionewa ukakaa kimya hata mawe yatasimama kukupigania.