Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

Mkuu, kwanini kuandikia mate.

Wewe ukiokota kifaa chochote cha kijeshi au hata bunduki ipeleke polisi kwa nia njema tu.

Au ukikuta mtu kauawa, ametupwa wewe katoe taarifa polisi kwa nia njema tu.

Ukimaliza waulize wale wazee wa kufichua wakwepa kodi, kile kimgawo chao wanachoahidiwa na TRA huwa wanapewa ??!
Watu waoga-waoga kama nyie ndio mnatuharibia nchi. Haya basi mnaogopa kule field, na huku pia mnaogopa!???
 
Kuna mtu alivamia kituo cha habari na silaha za moto sijui nikaripoti🤣👇
IMG_20210623_164213.jpg
 
Syo poor huo ni kama u informer

Wale machawa sasa watafanya sana kazi

Ova
Hivi wewe unawezaje kumjua mtu anaepora kwa bunduki bila kumuona/kushirikiana nae?! Utawaambia vizuri umemjuaje au ulikosa mgao?!!
 
Unaenda polisi kutoa taarifa. Halafu polisi hao hao wanawaambia wahalifu, kuna jamaa hapa anawajua vizuri shughuli zenu mmalizeni.
Ukimwambia Sirro kuwa raia hawana imani na polisi wako yeye anasema hao ni wakorofi wachache ambao ni wahalifu ndio wanachukia polisi, sasa hizi comments akizipitia atapata majibu sahihi.
 
Kuna Neno amemalizia ndio utata
Kuwa wakishafanikisha kuwakamata ndio unakula 2 mil, sasa issue na ujanja wa kukamata sio wao.
Vinginevyo vijana mnaolia ajira hiyo hapo kuliko ku bet unaweza kujiwekea goli hata taarifa 4 kwa mwezi hapo una 8 mils

Silaha hawaja specify kuna visu, nyembe, mapanga, rungu, milipuko au bunduki kwa aina zake
 
Ukimwambia Sirro kuwa raia hawana imani na polisi wako yeye anasema hao ni wakorofi wachache ambao ni wahalifu ndio wanachukia polisi, sasa hizi comments akizipitia atapata majibu sahihi.
Soma hawa 👇

 
Watu waoga-waoga kama nyie ndio mnatuharibia nchi. Haya basi mnaogopa kule field, na huku pia mnaogopa!???
👇👇
 
Hawa mbwa kama hujawahi kuingia mikononi mwao unawaona kama watu lakini weee

Kwanza wanapokukamata huwa hawataki kukusikiliza akili yao yote inawaza kutumia nguvu yoyote ili ukubali kosa mpaka inafika hatua unawaza hii taaluma watu wanaisomea au wanapewa maelekezo tu?

Sasa hapa ukitoa taarifa ujue kabisa uliyempa taarifa akili yake ikoje

Majuzijuzi nililazimishwa kosa Kila nikijitetea wapi nikabambizwa Kofi matata karibia siku tano taya zinauma
 
Kwanza ule uhalifu wa yule jamaa anamkanyaga jamaa na gari wameufanyia kazi?Hata kama ni mwizi hakutakiwa kufanyiwa vile
 
Ukisoma comments za humu inaonekana jinsi wananchi hawaliamini jeshi lao la polisi.
 
Back
Top Bottom