Raia Ghana walalamika baada ya Rais wao Nana Akufo-addo kuzindua sanamu yake ilinokshiwa na rangi ya shaba!

Raia Ghana walalamika baada ya Rais wao Nana Akufo-addo kuzindua sanamu yake ilinokshiwa na rangi ya shaba!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Marais wa Afrika ni walewale, uchawa na ujinga kila sehemu😹🤣🤣

====

Screenshot_20241109_155342_Firefox.jpg

Raia wa Ghana wametoa malalamiko yao baada ya Rais wa Nchini humo, Nana Akufo-Addo, kuzindua Sanamu yake iliyojengwa kwa kutumia Dhahabu katika Ukanda wa Magharibi mwa Nchi hiyo.​


images - 2024-11-10T132212.471.jpeg

Waziri Kwabena Okyere Darko-Mensah, amesema kuwa Sanamu hio imejengwa kwa Heshima ya Mipango na Maendeleo ambayo Rais amesimamia akiwa Madarakani. Ila kwa upande mwingine Waghana wamedhihaki Ujenzi huo wa Sanamu huku wakisema ni namna "Kujitukuza"​

Akufo-Addo, ambaye atang'atuka Madarakani Januari baada ya Mihula miwili Madarakani, amejigamba kuwa ametimiza asilimia 80 ya Ahadi zake kwa Waghana.​

 
Ngoja tumpe Baltazar namba ya mke wake ili rais ashike adabu
 
Mbona Saddam alikuwa na Choo cha Solid Gold na mlikuwa mnamsifia.

Au umepata fursa tu ya kumkejeli Kiongozi Mweusi wa Kiafrika?!
Alikua anasifiwa nanani kwanza hio habari ndio kwanza naisikia leo ila kama kweli alikua hivyo nae alikua mjinga kama wajinga wengine hili la huyo bwege wala hakejeliwi sababu ya rangi yake anakejeliwa sababu ya ujinga na utumbo wake alioufanya
 
Umesema miaka miwili? Kwahiyo kule ni miaka miwili then uchaguz unafanyika?
 
Back
Top Bottom