Raia Goma wakusanyika kuwapokea viongozi wapya

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Leo tarehe 6 January 2025, katika uwanja wa mpira wa Umoja huko Goma, raia wamefulika baada ya kualikwa kuwatambua viongozi wao wapya. Tofauti na matarajio, umati wa watu uliopo nje, unazidi uwezo uwanja huo. Link hapa, ni hali ilivyo kwa sasa nje ya uwanja huo.
Mkutano huo wenye ajenda ya AmA (Ask me Anything) umeandaliwa na uongozi wa mji huo na uongozi wa jeshi.


View: https://x.com/VoiceOfKivu/status/1887440465194045661

View: https://x.com/JustinNsengima/status/1887459333408956730

View: https://x.com/wembi_steve/status/1887416798091342282

View: https://x.com/kivuresidence/status/1887440479224033536

View: https://x.com/wembi_steve/status/1887435749991023077

View: https://x.com/NewTimesRwanda/status/1885245297737052573

View: https://x.com/la_revolution2/status/1887441762152567115
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…