Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Denmark iko mbioni kuwa nchi ya kwanza barani Ulaya kutoa haki miliki kwa watu juu ya sura, sauti na miili yao ili kukabiliana na deepfakes za AI.
Kupitia pendekezo jipya linaloungwa mkono na karibu vyama vyote nchini humo, sheria ya hakimiliki itarekebishwa ili mtu aweze kudai haki juu ya muonekano wake wa mwili na sauti. Hii itamaanisha kuwa, mtu akikuchakachua na kutengeneza video, sauti au picha bandia kwa kutumia sura au sauti yako bila ruhusa yako, unaweza kudai ziondolewe na hata kulipwa fidia.
Waziri wa Utamaduni Jakob Engel-Schmidt amesema wanataka kutuma ujumbe wazi kuwa kila mtu anamiliki sura na sauti yake. Ameongeza kuwa ni muhimu kwa sababu sasa hivi watu wanaweza kunakiliwa kidijitali na kutumiwa vibaya kwa njia ambazo zamani hatukuwahi kufikiria.
Sheria hiyo inatarajiwa kukamilika rasmi msimu wa vuli na kuanza kutumika kabla ya mwisho wa 2025.
Itakuwa na mapungufu machache kwa vichekesho na kejeli ili kulinda uhuru wa kujieleza, lakini inalenga kuzuia matumizi hatarishi kama video bandia za matusi ya ngono, utapeli, na propaganda za kisiasa.
Mataifa na majukwaa ya teknolojia yatakayoshindwa kuondoa maudhui hayo pindi mtu anapodai, yatakabiliwa na faini kubwa.
Denmark pia inapanga kusukuma mabadiliko kama haya kwa bara zima la Ulaya pindi itakaposhika urais wa EU mwaka 2025.
Wataalam wengi wanasema huu ni hatua muhimu ya kurudisha udhibiti mikononi mwa watu hasa wakati huu ambapo AI inaweza kunakili sauti, sura na hata mienendo ya miili kwa urahisi.
Denmark wanaongoza njia — je, unadhani huu ni mwelekeo mzuri kwa Afrika pia?
SOURCE: THE GUARDIAN
============For English Audience==========
The Danish government is to clamp down on the creation and dissemination of AI-generated deepfakes by changing copyright law to ensure that everybody has the right to their own body, facial features and voice.
The Danish government said on Thursday it would strengthen protection against digital imitations of people’s identities with what it believes to be the first law of its kind in Europe.
Having secured broad cross-party agreement, the department of culture plans to submit a proposal to amend the current law for consultation before the summer recess and then submit the amendment in the autumn.
It defines a deepfake as a very realistic digital representation of a person, including their appearance and voice.
The Danish culture minister, Jakob Engel-Schmidt, said he hoped the bill before parliament would send an “unequivocal message” that everybody had the right to the way they looked and sounded.
He told the Guardian: “In the bill we agree and are sending an unequivocal message that everybody has the right to their own body, their own voice and their own facial features, which is apparently not how the current law is protecting people against generative AI.”
He added: “Human beings can be run through the digital copy machine and be misused for all sorts of purposes and I’m not willing to accept that.”
The move, which is believed to have the backing of nine in 10 MPs, comes amid rapidly developing AI technology that has made it easier than ever to create a convincing fake image, video or sound to mimic the features of another person.
The changes to Danish copyright law will, once approved, theoretically give people in Denmark the right to demand that online platforms remove such content if it is shared without consent.
It will also cover “realistic, digitally generated imitations” of an artist’s performance without consent. Violation of the proposed rules could result in compensation for those affected.
The government said the new rules would not affect parodies and satire, which would still be permitted.
Kupitia pendekezo jipya linaloungwa mkono na karibu vyama vyote nchini humo, sheria ya hakimiliki itarekebishwa ili mtu aweze kudai haki juu ya muonekano wake wa mwili na sauti. Hii itamaanisha kuwa, mtu akikuchakachua na kutengeneza video, sauti au picha bandia kwa kutumia sura au sauti yako bila ruhusa yako, unaweza kudai ziondolewe na hata kulipwa fidia.
Waziri wa Utamaduni Jakob Engel-Schmidt amesema wanataka kutuma ujumbe wazi kuwa kila mtu anamiliki sura na sauti yake. Ameongeza kuwa ni muhimu kwa sababu sasa hivi watu wanaweza kunakiliwa kidijitali na kutumiwa vibaya kwa njia ambazo zamani hatukuwahi kufikiria.
Sheria hiyo inatarajiwa kukamilika rasmi msimu wa vuli na kuanza kutumika kabla ya mwisho wa 2025.
Itakuwa na mapungufu machache kwa vichekesho na kejeli ili kulinda uhuru wa kujieleza, lakini inalenga kuzuia matumizi hatarishi kama video bandia za matusi ya ngono, utapeli, na propaganda za kisiasa.
Mataifa na majukwaa ya teknolojia yatakayoshindwa kuondoa maudhui hayo pindi mtu anapodai, yatakabiliwa na faini kubwa.
Denmark pia inapanga kusukuma mabadiliko kama haya kwa bara zima la Ulaya pindi itakaposhika urais wa EU mwaka 2025.
Wataalam wengi wanasema huu ni hatua muhimu ya kurudisha udhibiti mikononi mwa watu hasa wakati huu ambapo AI inaweza kunakili sauti, sura na hata mienendo ya miili kwa urahisi.
Denmark wanaongoza njia — je, unadhani huu ni mwelekeo mzuri kwa Afrika pia?
SOURCE: THE GUARDIAN
============For English Audience==========
Denmark to tackle deepfakes by giving people copyright to their own features
Amendment to law will strengthen protection against digital imitations of people’s identities, government saysThe Danish government is to clamp down on the creation and dissemination of AI-generated deepfakes by changing copyright law to ensure that everybody has the right to their own body, facial features and voice.