Raia kutoka nchi za Magharibi wakiri kuwa Tanzania ni mahali salama baada ya kufanikiwa kudhibiti Covid-19

Raia kutoka nchi za Magharibi wakiri kuwa Tanzania ni mahali salama baada ya kufanikiwa kudhibiti Covid-19

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Watalii waliofika Tanzania kutoka nchi za mabeberu wamekili kua Tanzania ni mahali salama, kwani wamejionea wenyewe kwa macho yao kua Tanzania inshu ya corona ni kama imekwisha kabisa, watlii hao walisema watakwenda kutangaza sifa za Tz na maajabu waliojionea pindi wataporudi kwao.

Swali langu ni kua kama mabeberu yanakili hadharini kua Tanzania ni mahali salama wala hakuna tena vitisho vya covid 19 mbona hawa ndugu zetu vijakazi vya mabeberu hawataki kukubali na kujifunza kutoka kwetu tuwape maujanja ya kuishinda corona.

 
Hii serikali ya awamu ya tano mtajinyonga.
 
Hivi Kenya na Uganda bado wako kifungoni kwa kuogopa Corona [emoji848][emoji848][emoji848]. Hivi wamewashinda hata Wabunge na Mwenyekiti wa CHADEMA, ambao walisharudi Bungeni hasa baada ya kuambiwa watakatwa posho zao siku zote watakazo kimbia Bunge na Wagonjwa wa Corona.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Wadanganyika wamefungiwa kuingia Rwanda let alone Europa kwa kudanganya tu kwamba hamna Corona humo
 
Wadanganyika wamefungiwa kuingia Rwanda let alone Europa kwa kudanganya tu kwamba hamna Corona humo
Rwanda ana ubavu kwetu huyo bado ni dogo sana na bila sisi awezi fanya chochote.
 
Back
Top Bottom