CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Watalii waliofika Tanzania kutoka nchi za mabeberu wamekili kua Tanzania ni mahali salama, kwani wamejionea wenyewe kwa macho yao kua Tanzania inshu ya corona ni kama imekwisha kabisa, watlii hao walisema watakwenda kutangaza sifa za Tz na maajabu waliojionea pindi wataporudi kwao.
Swali langu ni kua kama mabeberu yanakili hadharini kua Tanzania ni mahali salama wala hakuna tena vitisho vya covid 19 mbona hawa ndugu zetu vijakazi vya mabeberu hawataki kukubali na kujifunza kutoka kwetu tuwape maujanja ya kuishinda corona.