Raia mgeni

KipajiTz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
743
Reaction score
880
Naitwa Stein Junior, niliingia JF since last year mid 2017. But sikuwahi kujitambulisha wala kupata ukaribisho.
Nipokeeni mgeni mnipe uraia kabisa.
hata mkinipendekezea ID mpya nzuri ya kuitumia badala ya hii, itapendeza zaidi. Utani pia hautadhuru.
[emoji56]
 




KipajiTz
Senior Member
Male
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:

Sep 15, 2016

Messages:

167

Likes Received:
203

Trophy Points:

60

Liked:

229
KipajiTz was last seen:

A moment ago


muongo wewe
 
KipajiTz
Senior Member
Male
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:

Sep 15, 2016

Messages:

167

Likes Received:
203

Trophy Points:

60

Liked:

229
KipajiTz was last seen:

A moment ago


muongo wewe
Sorry nilikosea tu kuType mwaka hapo ni random memory tu kukadiria Muda si unaona hapo ni september 2016 nikajikuta nishaandika 2017 badala ya 2016 na kurekebisha thread ni mpaka kuwasiliana na mods, please don't be quick to judge. Also sioni chochote ninachoweza kuBenefit kwa kudanganya kuhusu mwaka au muda niliojiunga na jamii forums.
however nashukuru kwa kuthibitisha profile yangu na kuniProve wrong nilipokosea.
thanks for a critical welcoming, be blessed!
Cc. Mulhat Mpunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…