KipajiTz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 743
- 880
Naitwa Stein Junior, niliingia JF since last year mid 2017. But sikuwahi kujitambulisha wala kupata ukaribisho.
Nipokeeni mgeni mnipe uraia kabisa.
hata mkinipendekezea ID mpya nzuri ya kuitumia badala ya hii, itapendeza zaidi. Utani pia hautadhuru.
[emoji56]
Nipokeeni mgeni mnipe uraia kabisa.
hata mkinipendekezea ID mpya nzuri ya kuitumia badala ya hii, itapendeza zaidi. Utani pia hautadhuru.
[emoji56]