Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #181
Asante kwa taarifa.Mbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.
Lissu hakuna kitu hata kimoja anaweza kuwa mbele ya Magufuli. Kipigo atachopewa October anaweza kuwachukia Watanzania wote.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu yangu;
Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity);
Huko mtaani mnapoishi kuna watu ambao ni hatari sana kwa ustawi wa Tanzania yetu. Huko mnaishi na majambazi, magaidi (kama wale wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji), wezi, vibaka, wauza mihadarati (bangi, gongo) ambao wote hao hawawapendi watu wa usalama wa nchi hata kidogo.
Nimeamua kuliongelea hili suala leo kwa maana kwamba, kwa siku za hivi karibuni kumeibuka na wimbi kubwa sana la vijana wenzangu wanaopenda kujitambulisha kuwa wao ni watu wa kwenye system kwa lengo/minadi ya kujitafutia umaarufu pamoja na sifa huko mitaani, mbele ya kadamnasi na wanawake warembo. Wengine wameenda mbali zaidi wakijitambulisha kuwa wao ni watumishi wa usalama wa taifa kwa lengo la kutaka kufanya utapeli jambo ambalo sio sahihi kabisa.
Soma thread hii hapa: Watu wanahisi mimi ni usalama wa taifa, naombeni ushauri
KISA KIDOGO CHA WATU WA USALAMA WA MOSSAD WALIVYOMUUA MTU KWA KUMFANANISHA (MISTAKEN IDENTITY)
===========
Miezi tisa baada ya tukio la Munich, July 1973 majasusi wa Mossad walipewa taarifa na mashushu wao wa Ulaya kuhusu uwepo wa Ali Hassan Salameh huko mjini Lillehammer, kaskazini mwa Norway. Michael Harari, aliyekuwa msaidizi wa Zvi Zamir alichukua vijana wake wa kazi na kwenda nchini Norway.
Siku chache baadaye, mkurugenzi wa Mossad Zvi Zamir alijiunga na timu hiyo. Ilikuwa ni utamaduni wa wakuu wa vyombo vya dola wa Israel kuwepo mstari wa mbele wakati wa kazi maalum.
Ni kwa muktadha huo huo, Yonatan 'Yoni' Netanyahu, kaka wa waziri mkuu wa sasa, Benyamin Netanyahu aliongoza kikosi cha makomandoo cha Sayeret Matkal katika operesheni ya Entebe (Operesheni Thunderbolt) ya kuwakomboa waisrael waliotekwa kwenye ndege, huko Entebe, Uganda. Yonatan alikufa katika misheni hiyo ya mwaka 1976.
Zamir alifuata utamaduni huo huo na kufika nchini Norway ili kumuua Ali Hassan Salameh. Kwa masaa mengi walimfuatilia mtu waliyeamini ni Salameh. Ilikuwa usiku, lakini binti mmoja aliyeitwa Marianne Gladnikoff, aliyeletwa na Michael Hariri kwenye timu hiyo ya Mossad alishtuka akasema mtu yule hakuwa Salameh, wakampuuza.
Walipomfuatilia hadi sehemu muafaka, Vijana wa Mossad waliofunzwa mahususi kwa kuua, walirusha risasi na kumuua mtu yule, bila kumjeruhi mwanamke aliyekua akitembea naye barabarani.
Kisha wauaji walirudi hadi jijini Oslo na kujificha kwenye nyumba salama. Hakukuwahi kufanyika mauaji katika mji wa Lillehammer kwa miaka 40, kwa hiyo ilikuwa tukio la ajabu sana kwa wakazi wa mji huo.
Lakini kesho yake iligundulika kuwa, aliyeuawa sio Ali Hassan Salameh, na mtu mwenye jina hilo hakuwepo nchini Norway. Ilikuwa ni pigo kwa Mossad, lakini pigo kubwa lilikuwa kukamatwa kwa timu yote iliyohusika na mauaji yale, isipokuwa Mkurugenzi Zamir na msaidizi wake Harari ambao walitoroka kwa njia zao binafsi kurudi Israel.
Zamir alitumia boti maalum iliyoandalia na muisrael aishiye Norway ,ambaye ni wakala malum wa Mossad. Karibu kila nchi duniani, wapo wakala wa kutoa msaada kwa waisrael, pamoja na kuwasaidia majasusi wa Mossad wanapohitaji msaada. Mawakala hao huitwa 'Sayan' na mara nyingi ni raia wa nchi wanamoishi, lakini wayahudi.
Jamii ya kimataifa ilishangaa, kwamba Mossad inayosifika kwa ufanisi wake imefanya makosa ya kijinga. Lakini zaidi timu iliyohusika na mauaji hayo ilishindwa kujificha na hivyo kukamatwa kirahisi na polisi wa Norway.
Pamoja na makosa mengime, kosa la kijinga walilofanya ni kutumia usafiri wa kukodi, badala ya kutumia usafiri wa umma.
Serikali ya Israel haikuwahi kukubali hadharani kuhusika na tukio hilo, lakini ilizungumza na serikali ya Norway namna ya kwasaidia raia wake waliokamatwa huko Norway.
Ahmed Bouchiki, raia wa Moroko aliuawa na Mossad kwa kufananishwa na Ali Hassan Salameh........
==========
Hii story niliisoma mwaka 2008 katika moja ya vitabu vyangu vingi nikiwa bado chuoni mwaka wa 2 pale IFM.
Kama raia mwema unaweza ukashiriki katika usalama wa taifa lako kwa kutoa ushirikiano kuanzia ngazi ya mjumbe, serikali ya mtaa wako au ikiwezekana toa taarifa hata kituo kidogo cha polisi kilicho karibu yako.
Usalama na ustawi wa nchi hii ni jukumu la kila mtanzania, mzalendo anayeilipenda taifa lake kwa dhati.
Tupo watanzania takribani milioni 50 sasa, jenga picha kila mmoja akitimiza wajibu wake ipasavyo nchii hii itakuwa mbali kiasi gani?
Unakuta kijana anatamani kufanya kazi TISS lakini wanafunzi wa secondary na primary wanapewa mimba na wahuni mtaa anapoishi anashindwa kwenda kutoa taarifa ofisi ya serikali ya mtaa, kwa mjumbe au hata kituo cha police kilicho karibu yake.
Wahusika watajueaje kama una mapenzi mema na taifa lako bila kuona matendo ya kizalendo?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wewe na familia yako kura zenu mkimpa msaliti wa Nchi haitaathiri kitu kwa sababu Dr Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na tutampigia kura kwa 98% Vijana wachache wa Chadema mwaka huu mtajiua sana.Unawaita njaa tupu wakati panya road walivyoibuka mkawa mnaomba msaada wao?
Acha kukejeli kazi za watu.
Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Magufuli.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.

Mhhh hayahivi mnakula majani kama mbuzi eh[emoji38][emoji38][emoji38].
Sio sahihi kumuita binadamu mwenzio njaa tupu wakati hajawahi kuja kuomba chakula kwako. Huko ni kudhalilishana. Mungu hapendi hivyo.Kama madini yanabebwa hovyo kila siku kilio cha kunyonywa hakiishi Bora tuwaite njaa tupu.
Hata mimi nimeshangaa sana mkuuMbowe anaingiaje hapa?
Huyo ni mwanasiasa uchwara mkuuHiyo inahusiana vipi na uzi huu. Mbona unakua na tabia ya kupenda kuharibu nyuzi za watu?
Daaah, wanakuhatarishia usalama wako binafsi hao mkuu...Mimi binafsi sipendi kufananishwa nao ila ishanitokea mtaani kwangu ninakoishi nakila ninavyo jaribu kukana ndio wadau wanazid kuamin naficha my cover
Sawa mkuu, endelea tu kuheshimika ila kuwa makini sana na hiyo CV yako ya kudhaniwa kuwa ni mtu wa usalamasina chakufanya zaid yakoenjoy tu the benefits of an economy of the scale that comes along with the title naheshimika na vibaka na maaskari kwenye eneo langu
Na hizo njaa zao lakini si wanakulinda wewe na mali zako? Kwanini unawakejeli?
Sio sahihi kumuita mtu njaa ilhali hajawahi kuja kuomba msaada wa chakula nyumbani kwako.
Heshimu binadamu wenzako...
Yah mkuu.
Lengo langu sio kukejeli.
Lengo langu ni kuwaonesha vijana kuwa hii ni kazi kama kazi zingine.
Wanaojidai kuwa ni usalama wanadhani kuwa kule kuna pesa za hivi hivi tu,paaap unachukua pesa zisomana hapana.
Ile kazi ina majungu kama kazi zingine.
Ile kazi ina njaa kama kazi zingine zilivyokuwa na njaa.
Ile kazi ina fitina kama kazi zingine.
Ile kazi ina udhalili kama kazi zingine.
Ila vijana hawajinasibu na kazi zingine wanadhani kwamba kule kuna kitu kiko real special wakati sio sahihi.
Ama wanaojinasibu kwa kupenda tu ile kazi bila kujali maslahi hao watajua wenyewe.
Kwani Police sio usalama wa taifa? Wao hawalilindi taifa? TISS ni idara ya ujasusi ambao ni sehemu ya usalama wa taifa...
Wewe pia ni sehemu ya usalama wa taifa kwa maana ulinzi wa taifa hili ni jukumu la kila mtanzania katika nafasi aliyonayo.
Babu yangu analima mahindi kijijini Rorya ekari mpaka 30 kwa mwaka.
Yeye pia ni sehemu ya usalama wa taifa kwa maana analilinda taifa letu dhidi ya adui njaa.
Hyo kz ngum sn! Wakati mwingine unatakiwa uwe chizi. Ili utekeleze majukum yko.
Sahihi kabisaSio ngumu ukipata watu sahihi
Wapo wanaojifanya kuwa wao ni watu wa idara ya ujasusi, Police na TPDF/JWTZHivyo hakuna anayejifanya usalama wa taifa kwa sababu raia wote wanapotimiza majukumu yao wote ni usalama wa taifa.
Upo sahihi kabisa mkuu.Hata wewe unalilinda taifa unapotoa taarifa polisi,na wewe ni usalama wa taifa pia.
nmegundua ina advantage nyingi za kiusalama hii title ikija yenyewe na usipoitumia hata kidogo acha watu wahis tu ila ukiitafuta ndio lazima uilipieSawa mkuu, endelea tu kuheshimika ila kuwa makini sana na hiyo CV yako ya kudhaniwa kuwa ni mtu wa usalama