T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mimi nimepinga huo mfano wa panya road. Huwezi toa mfano ambao hauendani kabisa, ukiambiwa sio unakomaa eti ni mfano tu.Panya road ni kama mfano tu wa matukio ya kihalifu yaliyokuwa yanaendelea katika jamii yetu ya huku Dar.
Kuna ujambazi pamoja na tatizo la drugs...
Wakihitaji msaada wao wanawaita ndio lakini sio scenario ya panya road uliyosema. Polisi wana wapelelezi, mwaka jana nilikuta mtu kafa nikaita watu tukashangaa kisha akapelekwa hospitali kupimwa. Nikaenda nyumbani nikajikuta usiku watu wawili wanakuja kuchukua maelezo kwangu. Walisema wametokea Stakishari na ni askari upelelezi. Sikuhitaji ID wakachukua maelezo ambayo bahati nzuri niliyakumbuka vema kabisa wakaondoka.
Now, Stakishari si kituo cha Usalama wa Taifa wala wale watu hawakuwa TISS ila walipeleleza kesi.
Panya road sio kesi ya level za TISS.
TISS wanaweza kusaidiana na Police pamoja na TPDF (pale panapokuwa na ulazima) katika kupambana na panya road.Panya road sio kesi ya level za TISS.
Uko sahihi sana. RCO na DSO wanasimamia ulinzi wa maeneo yao ya utawala. Ila wao si lazima directly watokee TISS. Ila DG wa TISS anakaa kwa cheo hiki tu na anajulikana hivyo. Ukienda kwa RCO atavaa cheo cha serikali. Sasa, pewa jukumu la kuwaface TISS directly ofisini hapo ndo kuna ugumu kiasi chake. That was my pointmkuu mbona unaenda tu,kwa kujua au kwa kutojua na unasaidiwa vizuri tu.labda kama hujui ofisi zao ni zipi.
dso,rso wote wanafahamika mpaka wasaidizi wao,labda kama sio mtu unayejihusisha sana na michongo ya ofisi za serikali.
tofauti yao na polisi hawataact moja kwa moja kama polisi baada ya wewe kulalamikia swala fulani,watakusaidia kufika kwa wahusika,au wakupeleke kabisa.
Panya road wasipothibitiwa mapenzi ndio wanakuja kuwa makundi makubwa ya kigaidi.Mimi nimepinga huo mfano wa panya road. Huwezi toa mfano ambao hauendani kabisa, ukiambiwa sio unakomaa eti ni mfano tu.
Ee Bwanaee!! Ebu iweke "Breaking News" Sasa hivi, usicheleweMbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.
Upo sahihi kabisa mkuu. Njaa pia ni sehemu ya adui wa taifa ndio maana kuna wizara maalum ya kushughulika na kilimo pamoja na mamlaka mahusus ya uhifadhi wa chakula (NFRA).Kwa hiyo watu wa usalama wa MOSSAD uliotaja ni sawa na mkulima wa mahindi babu yako.
Uko sahihi sana. RCO na DSO wanasimamia ulinzi wa maeneo yao ya utawala. Ila wao si lazima directly watokee TISS. Ila DG wa TISS anakaa kwa cheo hiki tu na anajulikana hivyo. Ukienda kwa RCO atavaa cheo cha serikali. Sasa, pewa jukumu la kuwaface TISS directly ofisini hapo ndo kuna ugumu kiasi chake. That was my point
Lucifer ndio nani?Hakuna kazi anayofanya binadamu akiwa na wenzake pasipo kuwa na majungu.
Watu wanapokaa pamoja lazima changamoto zijitokeze, laa sivyo kaa peke yako.
Hata Lucifer alianzaisha majungu Mbinguni ndio maana akafukuzwa.
Jambazi ni adui wa taifa kama ilivyo njaa. Wote wanapaswa kushughulikiwa na mamlaka za serikali kwa mbinu na nguvu stahiki...Sisi unataka tusijifananishe na wanausalama, yani tusijifananishe na wakulima wa mahindi kama babu yako kwa maana majambazi watatudhuru.
Nipo serious sana boss wangu.Bro kuwa serious na uzi wako.
Kwa hiyo tufanyeje sasa??Mbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.
Many Christians believe the Devil was once a beautiful angel named Lucifer who defied God and fell from grace.Lucifer ndio nani?
RCO au RSO?...Uko sahihi sana. RCO na DSO wanasimamia ulinzi wa maeneo yao ya utawala.
Ukoko umejaa kichwaniMbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.
RSO na DSO wanatokea wapi mkuu?Uko sahihi sana. RCO na DSO wanasimamia ulinzi wa maeneo yao ya utawala. Ila wao si lazima directly watokee TISS.
Mtu wa usalama amekuja kuharibu uzi [emoji23][emoji23][emoji23]Mbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.
SawaIla DG wa TISS anakaa kwa cheo hiki tu na anajulikana hivyo. Ukienda kwa RCO atavaa cheo cha serikali. Sasa, pewa jukumu la kuwaface TISS directly ofisini hapo ndo kuna ugumu kiasi chake. That was my point
Una uhakika na unachoongea japo kwa asilimia moja ?Kwani polisi na njaa zao hawatulindi ?
Polisi wanafanya kazi zao ila nao ni njaa kama kazi zingine.
Usalama nao hivyo hivyo mi njaa kama kazi zingine tu.
Watu wanadhani kuna mpunga mreeefu huko wanapata,ni njaa kama njaanzingine tu.
Nakubali njaa wanayo kama nilivyokuwa nayo mimi,na kazi wanafanya kama ninavyofanya mimi.
Sioni haja ya watu kujifanya wao ni usalama ili waonekane wana mpunga wakati uhalisia ni kuwa usalama wana njaa kali kama kazi zingine tu