Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
 
Magufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri.
 
Utakuwa umewasaidia sana mkuu.

Vijana tusipende sana kujisifia vitu ambavyo hatuna.

Tunaweza kujikuta tunaweka maisha yetu hatarini bila kujijua.
Ni kweli na hili wimbi limeongozeka kweli kweli kuanzia kipindi fulani.
 
Aliekwambia mkuranga wale magaidi una hakika je walifanya tukio lolote au wo ndo wamepigwa tukio kila nikikaa huwa nawaza hebu niambie mkuu

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mbowe atimuliwa jukwaani na wanachadema huko hai! Hawamtaki.

Alafu na wewe ni Kiongozi katika jamii alafu unakuja na utopolo kama huu.
Uko Lumumba bila kumtaja Mbowe hamuoni raha.
Mipango yote ya Sabaya dhidi ya Mbowe chama kinaelewa, lakini kumbuka tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu.
 
Ukiona unafananishwa na u/taifa jua wewe ni mmbea na unatabia zisizokubalika kijamii
 
Hujashauri chochote lakini kuhusu nini mhusika afanye pindi atakapofananishwa nao wa usalama. Naongelea wale waliofananishwa siyo wanaojifanya.
Huu ushauri unawahusu sana vijana wapenda misifa mijini.

Ukimwambia anafanana sana na watu wa kitengo/usalama, basi lazima achekelee sana kwa furaha.

Wahalifu wakubwa huko mitaani watawadhuru ki makosa (Mistaken Identity)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…