Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Hujashauri chochote lakini kuhusu nini mhusika afanye pindi atakapofananishwa nao wa usalama. Naongelea wale waliofananishwa siyo wanaojifanya.
Waliofananishwa wanapaswa kukataa katakata na sio kuchekelea kama watoto wadogo.
 
Waliofananishwa wanapaswa kukataa katakata na sio kuchekelea kama watoto wadogo.
Kukataa hakusaidii kitu, maana inajulikana usalama wa taifa hawataki kujulikana. Kwa upande wangu ningeshauri mhusika ajifunze mbinu hao wa usalama za kujihami na ikiwezekana ahame eneo hilo.
 
Kukataa hakusaidii kitu, maana inajulikana usalama wa taifa hawataki kujulikana. Kwa upande wangu ningeshauri mhusika ajifunze mbinu hao wa usalama za kujihami na ikiwezekana ahame eneo hilo.
Upo sahihi kwa kiasi fulani mkuu.

Vp na huko anapohamia kama wakianza tena kumfananisha na watu wa usalama? Atahitajika kuhama tena?

Mimi naona akiendelea kukataa ila watu wakazidi kumlazimisha kuwa NI YEYE, basi aende akatoe taarifa Police kwa usalama wa maisha yake.
 
Huko Polisi anamshtaki nani? Polisi hawafanyii kazi majungu.
 
Polisi hawafanyii kazi majungu.
Ila hayo hayo wewe unayoyaita majungu yatakapo sababisha kifo au ulemavu wa kudumu, Police watahusika katika upelelezi? Au sio boss?

Sasa kipi ni bora kati ya kinga au tiba?
 
Hyo kz ngum sn! Wakati mwingine unatakiwa uwe chizi. Ili utekeleze majukum yko.
 
Sikuizi mashirika yanatumia spy equipment sio hao vijana wanaoona sifa kufananishwa hawatambui technolojia ya sasa dunia imebadilika
Human Intelligence haiwezi kubadilika sema tu inaweza ikaboreshwa na kuwa bora zaidi kulingana na mahitaji ya wakati husika.

Hizo spying equipments zinaji-operate zenyewe pasipo msaada wa binadamu?
 
Human Intelligence haiwezi kubadilika sema tu inaweza ikaboreshwa na kuwa bora zaidi kulingana na mahitaji ya wakati husika.

Hizo spying equipments zinaji-operate zenyewe pasipo msaada wa binadamu?
Zinafanya kazi za binadaamu kumi zimepunguza uwingi wa binaadamu kwenye kazi husika
 
Zinafanya kazi za binadaamu kumi zimepunguza uwingi wa binaadamu kwenye kazi husika
Upo sahihi sana mkuu na ndio maana na mimi nimesema kwa kuongezea kwamba, inaweza ikaboreshwa na kuwa bora zaidi kulingana na mahitaji ya wakati husika ila haiwezi kuondoa kabisa umuhimu wa uwepo wa mwanadamu katika operations.
 
Ndio bora apitishwe tu amefanya kazi kubwa kumpinga Magufuli ni kujidhalilisha tu.
 
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu hadi mababu na mabibi watanilaani Kura na Rais Magufuli tu.
 
Magufuli haitaji kupiga kampeni Mkuu hata akikaa ofisini lazima achaguliwe kwa kishindo Kazi zake zinambeba.
 
Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…