Raia Mwema: Aliowatema Hayati Magufuli warejeshwa tena

1.Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata

View attachment 2021628
Askofu Shoo ametia aibu sana kwa kuonyesha kuwa upande wa wanaompinga Askofu Dr. Edward Mwaikali ambae ndie Askofu halali wa Dayosisi ya Konde, Askofu Shoo hana Mamlaka kikatiba kuiangilia mambo ya Konde.

Hata Askofu Dr. Alex Malasusa ametia aibu ya kuwa na personal interest kwenye huu mtafaluku, Malasusa hatakiwi awe kiongozi wa Kamati ya Usuluhishi kwasababu amelalia upande wa watesi wa Askofu Mwaikali
 
Kwan wanagombania nn hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.

#MaendeleoHayanaChama
usikute yeye ndio alikua informer wa kina kigogo na mange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii katiba ya KKKT iko vipi?!
Sasa ikiwa hata Mkuu wa Kanisa hana mamlaka kwenye hizo dayosisi kazi kubwa hasa ni ipi?
Hili Kanisa letu hii migogoro ya kimaslahi inatutia aibu sana!
 
Hili linahusiana vipi na thread hii?
 
Babako unamwita shetani?

Ndio adabu aliyookufundisha mamako hiyo?
 
Hii katiba ya KKKT iko vipi?!
Sasa ikiwa hata Mkuu wa Kanisa hana mamlaka kwenye hizo dayosisi kazi kubwa hasa ni ipi?
Hili Kanisa letu hii migogoro ya kimaslahi inatutia aibu sana!
Wanagombea tu sadaka wanazokamua waumini wao
 
Babako unamwita shetani?

Ndio adabu aliyookufundisha mamako hiyo?
Huwezi kuwa na akili timamu ukamuheshimu Mwendawazimu yule aliokua anapuyanga mabarabarani na kutukana watu hovyo..
Magufuli ni ”HAYAWANI” hastahili heshima.
 
Kazi zote za shetani ni batili,Jiwe hastahili kupongezwa kwa lolote lile.
 
Huwezi kuwa na akili timamu ukamuheshimu Mwendawazimu yule aliokua anapuyanga mabarabarani na kutukana watu hovyo..
Magufuli ni ”HAYAWANI” hastahili heshima.
Hii yote ni sababu ya tabiaa za ulikolelewa,!

Babako hawezi kuwa hayawani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…