Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Akiwemo MwiguluHata yeye mwenyewe JPM kuna wengine alikua anawaondoa na kuwarudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwemo MwiguluHata yeye mwenyewe JPM kuna wengine alikua anawaondoa na kuwarudisha
Chsrles Kicheere!Dr. James Matagio
Sukuma gang wamefura kama nyoka kifutu.1.Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
Huenda kwamba Maombi yake ya kuwa Mkuu wa Malaika yalikubaliwa ndo Maana alikwenda huko Faster!Kwa nini? Kwani Magufuli Mungu?
Askofu Shoo ametia aibu sana kwa kuonyesha kuwa upande wa wanaompinga Askofu Dr. Edward Mwaikali ambae ndie Askofu halali wa Dayosisi ya Konde, Askofu Shoo hana Mamlaka kikatiba kuiangilia mambo ya Konde.1.Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628
Kwan wanagombania nn hasa?Askofu Shoo ametia aibu sana kwa kuonyesha kuwa upande wa wanaompinga Askofu Dr. Edward Mwaikali ambae ndie Askofu halali wa Dayosisi ya Konde, Askofu Shoo hana Mamlaka kikatiba kuiangilia mambo ya Konde.
Hata Askofu Dr. Alex Malasusa ametia aibu ya kuwa na personal interest kwenye huu mtafaluku, Malasusa hatakiwi awe kiongozi wa Kamati ya Usuluhishi kwasababu amelalia upande wa watesi wa Askofu Mwaikali
Sukuma gang wamefura kama nyoka kifutu.
usikute yeye ndio alikua informer wa kina kigogo na mange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nazidi kuamini..ssh aliishi kinafiki na jpm..ilikua ni suala la muda tu kuonyesha rangi yake halisi..hizi siasa za bongo inabidi uwe pungua ndio uziishi.
#MaendeleoHayanaChama
Askofu Shoo ametia aibu sana kwa kuonyesha kuwa upande wa wanaompinga Askofu Dr. Edward Mwaikali ambae ndie Askofu halali wa Dayosisi ya Konde, Askofu Shoo hana Mamlaka kikatiba kuiangilia mambo ya Konde.
Hata Askofu Dr. Alex Malasusa ametia aibu ya kuwa na personal interest kwenye huu mtafaluku, Malasusa hatakiwi awe kiongozi wa Kamati ya Usuluhishi kwasababu amelalia upande wa watesi wa Askofu Mwaikali
Hili linahusiana vipi na thread hii?Askofu Shoo ametia aibu sana kwa kuonyesha kuwa upande wa wanaompinga Askofu Dr. Edward Mwaikali ambae ndie Askofu halali wa Dayosisi ya Konde, Askofu Shoo hana Mamlaka kikatiba kuiangilia mambo ya Konde.
Hata Askofu Dr. Alex Malasusa ametia aibu ya kuwa na personal interest kwenye huu mtafaluku, Malasusa hatakiwi awe kiongozi wa Kamati ya Usuluhishi kwasababu amelalia upande wa watesi wa Askofu Mwaikali
Babako unamwita shetani?Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.
Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
Wanagombea tu sadaka wanazokamua waumini waoHii katiba ya KKKT iko vipi?!
Sasa ikiwa hata Mkuu wa Kanisa hana mamlaka kwenye hizo dayosisi kazi kubwa hasa ni ipi?
Hili Kanisa letu hii migogoro ya kimaslahi inatutia aibu sana!
Na Bashite usimsahau mkuu. Mjaalaana yule anastahili kufukiwa akiwa hai.Bila kuwapeleka Mahakamani akina Polepole na Bashiru Mama atakuwa anatwanga maji tu.
Huwezi kuwa na akili timamu ukamuheshimu Mwendawazimu yule aliokua anapuyanga mabarabarani na kutukana watu hovyo..Babako unamwita shetani?
Ndio adabu aliyookufundisha mamako hiyo?
Kina AndengenyeHata yeye mwenyewe JPM kuna wengine alikua anawaondoa na kuwarudisha
Kazi zote za shetani ni batili,Jiwe hastahili kupongezwa kwa lolote lile.Sophia Mjema na Kafulila hawakutemwa, walijitema wenyewe, walishaambiwa ukienda kugombea ubunge nafasi yako anapewa mtu mwingine, wao wakaamuwa kubet.
Nampongeza sana marehemu kwa hili japo alikuwa shetani lakini msimamo huu ulikuwa sahihi na ndio ulitusaidia kumpoteza Makonda.
Hii yote ni sababu ya tabiaa za ulikolelewa,!Huwezi kuwa na akili timamu ukamuheshimu Mwendawazimu yule aliokua anapuyanga mabarabarani na kutukana watu hovyo..
Magufuli ni ”HAYAWANI” hastahili heshima.
Waliofoji vyeti hakuna aliyerudishwa kazini wala kulipwa mafao waliorudishwa kazini ni drs la Saba waliojiendeleza elimu ya kidato Cha nneBila kusahau waliofoji vyeti.
WOTE HAO WAPIGAJI TUU ISPOKUWA KISAKA NA MNYAA1. Prof. Mbarawa
2. Sophia Mjema
3. Amos Makala
4. Mchechu
4. January Makamba
5. Mramba
6. Lawrence Mafulu
7. Ashatu Kijaji
8. Iren Issaka
9. David Kafulila
10. Alphayo Kidata
View attachment 2021628