Raia Mwema: DPP Biswalo mambo magumu kutokana na fedha za Plea Bargain

Raia Mwema: DPP Biswalo mambo magumu kutokana na fedha za Plea Bargain

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
d07ee854-f37b-49dd-9690-4eb877983276.jpg
"D​
 
Kila ubaya utalipwa .
Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo mtu anatambulika ni Jizi na nyang'anyi kama Biswalo lakini bado liko ofisini kwa utambulisho wa cheo eti Mheshimiwa Jaji.

Ni jizi na nyang'anyi kwa sababu ukiambiwa njia alizokuwa akikusanya hizo plea bargain hana tofauti na panya road wanavyo pora na kujeruhi.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mi zaidi nimeguswa na kichwa habari kuhusu tuhuma za Range Rover

Hizi ni tuhuma za ujambzi zinazomuhusu jambazi mwenyewe moja kwa moja

Hii ya plea bargaining kidogo imepoa nguvu au mnasemaje wadau ...
 
Angalia kichwa cha Habari....BAWACHA WAMVAA MNYIKA.

tuonyeshe conection ya BAWACHA hapo....hao Covid19 ndio wanaitwa BAWACHA na hicho kijarida. Pathetic
Acha porojo wewe jikite kwenye mada iliyopo mezani
 
Back
Top Bottom