JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,285
Gazeti la kufungia mihogo hili ,japo simkubali Tundu ila hawa raia mwema wa hovyo sanaGazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.
Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Gazeti la kufungia mihogo hili ,japo simkubali Tundu ila hawa raia mwema wa hovyo sana
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, Ati ni Demokrasia kutoswa. Wengine mmewaita Wasaliti....CHADEMA Nao!Acheni kuchochea migogoro, hata Msigwa mlisema hivo hivo alivopishana na wenzake hadharani. Kwenye chama hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa na hii ndio demokrasia. Hakuna mgogoro Wala Nini kama mnasubiri Chadema kupasuka mnapoteza muda tu.
HahahaAisee, Ati ni Demokrasia kutoswa. Wengine mmewaita Wasaliti....CHADEMA Nao!
sasa msinibugudhi hapa na bandiko langu "Nina uhuru wa Kutoa maoni" ndio Demokrasia yenyewe [emoji23]
[emoji23][emoji3577]
Unateseka sana Pole aisee. Gazeti halikumtaja, umekuja kumtaja wewe. Wacha We!Xhochote kitokeacho kwa sasa ni jambo la kheri Kwan MAGUFILI ajishajiletea umauti mwenyewe!!!!
Celebrate, celebrate, celebrate....tunalala, kuongea, kuwasema, kukosoa, kushauri kwa aman kwan jini magufuli alishatoweka
Team magu kamfufueni MUNGU WENU chattle
AtooosweeeeeGazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.
Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Wapi katoswa? Acheni utoto.... Lissu anaelekea kigoma kuongoza mikutano ya chama Sasa katoswa lini na nani? Chadema Ina mshikamano kuliko wakati wowote uleAisee, Ati ni Demokrasia kutoswa. Wengine mmewaita Wasaliti....CHADEMA Nao!
sasa msinibugudhi hapa na bandiko langu "Nina uhuru wa Kutoa maoni" ndio Demokrasia yenyewe 😂
😂✌️
Hako ni ka sripti chao wenyewe.Hahaha
Kupoteza muda kwa mambo yasiyo halisia ni kujitoa ufahamu.Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lisu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.
Tundu Lisu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.View attachment 2616296
Tuna celebrate MUNGU kutuamua kwa haki....Unateseka sana Pole aisee. Gazeti halikumtaja, umekuja kumtaja wewe. Wacha We!
Mna Celebrate Lissu kutoswa??
Bandugu, wote tumesoma Gazeti lililoandika hayo, sasa mie naona kana unataka uniandame badala uliandame Gazeti lililoandika hayo. AiseeWapi katoswa? Acheni utoto.... Lissu anaelekea kigoma kuongoza mikutano ya chama Sasa katoswa lini na nani? Chadema Ina mshikamano kuliko wakati wowote ule
Soma Gazeti wewe. Usijiondoe ufahamu uharibikiwe Asubuhi kuita wafu. tsk tsk.Tuna celebrate MUNGU kutuamua kwa haki....
Alipenda kujiona yeye MUNGU huyo MAGU...mtu alikosana na babayako hukoooo kwenye siasa zao, anakuja kuwaandama watoto MTU mara muhojiwe na wasiojulikana, mara mshikiliwe.....huyu hakustahili kbs kuwa mwenyekili wa Ccm