masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Basi Mbowe arudishwe Lupango na Lissu arudi Ubelgiji...Lissu yuko sahihi.
..Kasi ya Maridhiano ni ndogo.
..Na ni ndogo kwasababu CCM hawana nia ya dhati ktk maridhiano.
Basi Mbowe arudishwe Lupango na Lissu arudi Ubelgiji...Lissu yuko sahihi.
..Kasi ya Maridhiano ni ndogo.
..Na ni ndogo kwasababu CCM hawana nia ya dhati ktk maridhiano.
Basi Mbowe arudishwe Lupango na Lissu arudi Ubelgiji.
Death to Dictator, death to Magufuli....Unajikaza upepo umeshabadilika tunawasubiri konani
Sudani wasemeje?Death to Dictator, death to Magufuli....
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingieDeath to Dictator, death to Magufuli....
Atemwe tu maana hajui kusoma alama za nyakatiGazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.
Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.
Ni laana ya Magufuli inamwandamaAtemwe tu maana hajui kusoma alama za nyakati
Kweli kabisa, akomeNi laana ya Magufuli inamwandama
[emoji23]Kweli kabisa, akome
Mpumbavu na upumbavu wake huwa haujifichi,mada ina mhusu lissu na chadema,wewe kwa upumbavu wako unaibuka na magufuli.Xhochote kitokeacho kwa sasa ni jambo la kheri Kwan MAGUFILI ajishajiletea umauti mwenyewe!!!!
Celebrate, celebrate, celebrate....tunalala, kuongea, kuwasema, kukosoa, kushauri kwa aman kwan jini magufuli alishatoweka
Team magu kamfufueni MUNGU WENU chattle
Ana mimba ya Magufuli huyoMpumbavu na upumbavu wake huwa haujifichi,mada ina mhusu lissu na chadema,wewe kwa upumbavu wako unaibuka na magufuli.
Usitujazie nzi hapa. Sioni chochote cha kukufanya uruke na kijithread ambacho hakina hata mashikoGazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia mwenyekiti Mbowe na Rais Samia.
Tundu Lissu amenukuliwa mara kadhaa kwenye mikutano yake ya hadhara akitoa kauli za kuwashangaa viongozi wenzake wa Chadema kwani wamekuwa wapole mno Kwa serikali licha ya ufisadi wa kutisha unaoendelea hapa nchini Kwa Sasa.
Unateseka ukiwa wapi?Usitujazie nzi hapa. Sioni chochote cha kukufanya uruke na kijithread ambacho hakina hata mashiko