Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

kijarida cha kufungia mavi ya mbwa kuyatupa
 
Lisu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewanan Mungu kuwa musiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo uharo wenu mnaozusha utawakaba kooni na mtapata kansa ya koo
 
Je, kwa mwendo huu, kutapatikana Katiba isiyokuwa na maslahi binafsi?
Katiba ni takwa la watanzania wengi tu na siyo CHADEMA peke yao ila CCM ndiyo hawataki Katiba mpya. Halafu mbona hatuoni CHADEMA ikiungwa mkono inapopigania Katiba mpya ila kila siku inalaumiwa kwamba yenyewe ndiyo inayosababisha Katiba mpya isipatikane??
 
Acheni kuchochea migogoro, hata Msigwa mlisema hivo hivo alivopishana na wenzake hadharani. Kwenye chama hamuwezi wote kuwa na mawazo sawa na hii ndio demokrasia. Hakuna mgogoro Wala Nini kama mnasubiri Chadema kupasuka mnapoteza muda tu.
Kama chama lazima yapo mambo muhimu ambayo yanahitaji kauli na msimamo thabiti wa viongozi na wanachama. Simkubali sana Lisu lakini ana akili kuliko wenzake
 
Gazeti hilo ni "dugu" moja na gazeti la Uhuru ni propaganda za kindezi.
Siku nikimuona moja kati ya family members wangu anasoma hili gazeti nampa adhabu ya kutokula wiki nzima.

Bora kusoma gazeti la upinde kuliko gazeti hili.
 
Hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia Magufuli
 
Aisee. Hiyo ni habari mpya kwangu!!
Kama ni mfuatiliaji wa magazeti utaona kuna tofauti kubwa ya kisera katika gazeti hilo na imetokea baada ya Kubenea kulinunua. Kubenea ana ugomvi na Chadema nafikiri unakumbuka yeye na Anthony Kommu walipanga kumdhuru Mbowe na habari ikavuja,hivyo hilo bifu bado lipo sana na Kubenea yupo ACT WAZALENDO.
 
Hilo gazeti linamililiwa na sukuma Gang unafikiri litaandika kitu gani kama siyo pumba tupu?sukuma Gang nyie ni maiti zinazotembea
Ulimwengu ni sukuma gang?

Naona umelewa konyagi za dj
 
Lissu na Mdude hawafai kuendelea kuwepo CHADEMA kwasababu wameshindwa kusoma alama za nyakati kwamba sasa ni muda wa kulamba asali. Namtupia lawama Mbowe kwa kutaka kumaliza buyu zima la asali mwenyewe.
 
Hivi unajua unaongea nini? CCM ina tonge mdomoni na inajitahidi lisiiponyoke. Kwa tunaopenda mabadiliko, katiba mpya itainyang'anya CCM donge hilo, ili ligawanywe kwa kila mtanzania. Hivyo tunategemea Chadema itusaidie kupambana. Kumbuka takwa kuu la Katiba mpya ni kupunguza madaraka ya Rais = Tindo
 
Hata mumeo akishindwa kusimamisha ili akupande utamsingizia Magufuli
Kweli, tukianza stori za magufuli chumbani nyumban jioni kipindi hicho ujue hata nimyonye hakisimamii
Ila tokea jiwe afe nataman apatikae make mwenzangu navyobakwa chumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…