Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

Uhuru wa Habari Raia Mwema wanataka kupiga pesa za mauzo za Sukuma Gang๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kalagha bahooo!!
 
Gazeti la Raia Mwema ni gazeti rasmi la Chadema!
 
Lissu ndiye mwenye Tiba ya magonjwa yote yanayosumbua Taifa Hilo.
 
Nimecheka sana !

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Wajinga,mapunguani,wapumbavu, vilema wa akili hawawezi kumuelewa Lisu.
Hilo jarida waandishi wana mtindio wa ubongo pamoja na wahariri wake
 
Lissu ameingia Mkoani Singida jana alikuwa pale Manyoni Lissu anaongea yaliyomo mioyoni mwa Watanzania wengi.

Pale Manyoni amewaambia Wananchi jinsi Kodi yao inavyoporwa akawaambia Mapolisi jinsi mfuko wao wa kufa na kuzikana ulivyoporwa, akawaambia jinsi fedha za kuwahamisha Wamasai ziilivyoporwa.

Leo nayo naitega radio yangu pale Ikungi.
 
Hata mimi sikumuelewa Lisu alipoanza kutofautiana na msimamo wa viongozi wenzake.
 
Hata mimi sikumuelewa Lisu alipoanza kutofautiana na msimamo wa viongozi wenzake.
Ni sahihi kweli kupewa ubunge wa mezani? Maana hoja ya Lissu anakataa kupewa ubunge wa mezani maana hautawasaidia wananchi
 
Hili gazeti mbona zamani lilikuwa linaaminika sana. Kina Jenerali Ulimwengu hawamiliki tena? Waliliuza nini? Naona habari zake ni kama gazeti la Uhuru.
 
Wataendelea kuvurugana wao kwa wao lakini sisi watanzania tunajua tuko na Mama hadi 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ