Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

Ingawa Tundu akuwa mwanasiasa ninayemhusudu ila kwa kile alichonena nipo nae pamoja na kama ajabadilika kimsimamo kwa kile alichoanza nacho.

Atakuwa 100% ila kwasasa nacheza 20% juu ya msimamo
 
Atemwe tu maana hajui kusoma alama za nyakati
 
Mpumbavu na upumbavu wake huwa haujifichi,mada ina mhusu lissu na chadema,wewe kwa upumbavu wako unaibuka na magufuli.
 
Usitujazie nzi hapa. Sioni chochote cha kukufanya uruke na kijithread ambacho hakina hata mashiko
 
Hawa watu si wa kuwaamini kabisa katika kauli na matendo yao.

Vipi wataaminiana wao kwa wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…