Raia nchini Burkina Faso waamua kulala barabarani nyakati za usiku ili kumlinda Rais Ibrahim Traore

UCHAWA, wanamlinda hata hawamfahamu adui wa huyo wanayemlinda ni nani.
 
Alitakiwa kuiheshimu covid-19
 
Nasikia jamaa kalipa deni $4b kupitia mgodi,pesa ni za mchina,mchina kachukua mgodi
 
Afrika chawa across the continent. Full drama. Huku wachungaji wanawadakisha utajiri kule chawa wametaladadi ili mradi meafrika aonyeshe uzwazwa kwa dunia
 
asili ya mtu mweusi ni ujinga , baada ya miaka 5 wakianza pigwa na matatizo wanaanza msingizia marekan na mwarab , we subir , unampenda kiongoz kisa hawapend wazungu na sio kuangalia uwajibikaji wake
Mzee unafuatilia kweli "uwajibikaji" wa huyo jamaa?
 
Nasikia jamaa kalipa deni $4b kupitia mgodi,pesa ni za mchina,mchina kachukua mgodi
Si kweli. Ile nchi migodi yao mingi ni ya dhahabu na kampuni zinazochimba ni za Australia, Uingereza na Cañada.Kuna mgodi ulikuwa unagombaniwa mwaka huu kati ya Kampuni mbili za Uingereza na Afrika Kusini, akalipa pesa akautaifisha. Punguza kusikiliza BBC DW VOA
 
Kupitia ulinzi huo.huo, wahuni watapenyeza moles na sleeper agents.

Rais Traore anachopaswa kufanya ni kuwapatia wananchi wa Burkina Faso katiba na mifumo imara ya kiutawala.

Ninaliona kosa lile lile linajirudia ambalo ni KUMTEGEMEA MTU badala ya ujenzi wa taasisi imara.

Mimi, nikipewa nchi, kitu cha kwanza ni kuunda mfumo imara unaowajibika na kuwajibisha badala ya kutamba na ujiniaz wangu wa kushughulikia kero za karne na karne.
 
Mifumo, taasisi haijengwi siku moja. Inajengwa na kiongozi mara.
 
Hongera kuwaza hivyo ila sio rahisi kama unavyo dhani.
 
Wajamaa Huwa Wana propaganda sana shida Huwa ni nini? 😂😂
 
asili ya mtu mweusi ni ujinga , baada ya miaka 5 wakianza pigwa na matatizo wanaanza msingizia marekan na mwarab , we subir , unampenda kiongoz kisa hawapend wazungu na sio kuangalia uwajibikaji wake
Kwann huwa mnawashobokea sana wazungu, kama anamchukia ana sababu za kumchukia we inakuhusu nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…