Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
tatizo aliowaamini ndio waliomuondoaNa sisi magufuli wetu tulitakiwa tumlinde namna hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo aliowaamini ndio waliomuondoaNa sisi magufuli wetu tulitakiwa tumlinde namna hii.
Alitakiwa kuiheshimu covid-19Ni ngumu kwa Jpm kwa sababu maadui wakubwa walikuwa ndani yake alitakiwa kumuua Rostam azizi na familia yake haraka sana na sababu aliipata ya yale mabunduki aliyo kamata ...palepale Rostam azizi angemalizwa na familia hadi leo jpm angekuwa yupo ikulu na wengine kina nape na January na familia zao angemaliza walipo jaribu kumpindua.
Mzee unafuatilia kweli "uwajibikaji" wa huyo jamaa?asili ya mtu mweusi ni ujinga , baada ya miaka 5 wakianza pigwa na matatizo wanaanza msingizia marekan na mwarab , we subir , unampenda kiongoz kisa hawapend wazungu na sio kuangalia uwajibikaji wake
Si kweli. Ile nchi migodi yao mingi ni ya dhahabu na kampuni zinazochimba ni za Australia, Uingereza na Cañada.Kuna mgodi ulikuwa unagombaniwa mwaka huu kati ya Kampuni mbili za Uingereza na Afrika Kusini, akalipa pesa akautaifisha. Punguza kusikiliza BBC DW VOANasikia jamaa kalipa deni $4b kupitia mgodi,pesa ni za mchina,mchina kachukua mgodi
Kupitia ulinzi huo.huo, wahuni watapenyeza moles na sleeper agents.Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi.
Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa Les Wayiyans, kwa miaka miwili tangu 2022 Rais Ibrahim Traore alipoingia madarakani kwa njia ya mapinduzi,wamekacha vitanda vyao na kujitolea kuwa sehemu ya ulinzi wa Rais.
Inapofika nyakati za usiku, raia hao hukutana pamoja kisha kugawanyika katika vikundi mbalimbali vinavyoenda kulinda maeneo mbalimbali mfano barabara ya kuelekea ikulu, redio ya taifa, uwanja wa ndege n.k.
Wanapokuwa katika maeneo hayo, huwasiliana kwa njia mbalimbali kama vile Whatsapp na pale kikundi chochote kinapohisi hatari yoyote hutoa taarifa kwa vikundi vingine pamoja na kwa maafisa wa usalama wa Burkina Faso.
Katika mahojiano, raia hao walisema wameamua kuchukua jukumu la kumlinda Kapteni Ibrahim Traore kwa sababu mbalimbali kama vile kuepuka yaliyomkuta Thomas Sankara yasimkute Ibrahim Traore, kutowaamini wanasiasa, kutoziamini nchi za Magharibi na kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Rais Ibrahim Traore kurejesha usalama nchini Burkina Faso.
Vilevile Raia hao walisema wataendelea kujitolea kumlinda Rais Ibrahim Traore hadi hapo watakapojiridhisha kuwa hakuna kitisho chochote cha usalama dhidi ya Rais Traore msisitizo ikiwa ni " kabla yeyote mwenye nia mbaya hajamfikia Ibrahim Traore,lazima apite kwao kwanza"
Source:
View attachment 3182588
View attachment 3182594
Mifumo, taasisi haijengwi siku moja. Inajengwa na kiongozi mara.Kupitia ulinzi huo.huo, wahuni watapenyeza moles na sleeper agents.
Rais Traore anachopaswa kufanya ni kuwapatia wananchi wa Burkina Faso katiba na mifumo imara ya kiutawala.
Ninaliona kosa lile lile linajirudia ambalo ni KUMTEGEMEA MTU badala ya ujenzi wa taasisi imara.
Mimi, nikipewa nchi, kitu cha kwanza ni kuunda mfumo imara unaowajibika na kuwajibisha badala ya kutamba na ujiniaz wangu wa kushughulikia kero za karne na karne.
Hongera kuwaza hivyo ila sio rahisi kama unavyo dhani.Kupitia ulinzi huo.huo, wahuni watapenyeza moles na sleeper agents.
Rais Traore anachopaswa kufanya ni kuwapatia wananchi wa Burkina Faso katiba na mifumo imara ya kiutawala.
Ninaliona kosa lile lile linajirudia ambalo ni KUMTEGEMEA MTU badala ya ujenzi wa taasisi imara.
Mimi, nikipewa nchi, kitu cha kwanza ni kuunda mfumo imara unaowajibika na kuwajibisha badala ya kutamba na ujiniaz wangu wa kushughulikia kero za karne na karne.
Sawa mkuuHongera kuwaza hivyo ila sio rahisi kama unavyo dhani.
Wajamaa Huwa Wana propaganda sana shida Huwa ni nini? 😂😂Baadhi ya Raia nchini Burkina Faso wameanzisha utaratibu wa kutumia muda wa usiku katika barabara na maeneo muhimu ya mji mkuu wa Ouagadougou badala ya kulala majumbani mwao ili kumlinda Rais Kapteni Ibrahim Traore dhidi ya jaribio lolote la mapinduzi.
Raia hao walioanzisha kikundi kinachoitwa Les Wayiyans, kwa miaka miwili tangu 2022 Rais Ibrahim Traore alipoingia madarakani kwa njia ya mapinduzi,wamekacha vitanda vyao na kujitolea kuwa sehemu ya ulinzi wa Rais.
Inapofika nyakati za usiku, raia hao hukutana pamoja kisha kugawanyika katika vikundi mbalimbali vinavyoenda kulinda maeneo mbalimbali mfano barabara ya kuelekea ikulu, redio ya taifa, uwanja wa ndege n.k.
Wanapokuwa katika maeneo hayo, huwasiliana kwa njia mbalimbali kama vile Whatsapp na pale kikundi chochote kinapohisi hatari yoyote hutoa taarifa kwa vikundi vingine pamoja na kwa maafisa wa usalama wa Burkina Faso.
Katika mahojiano, raia hao walisema wameamua kuchukua jukumu la kumlinda Kapteni Ibrahim Traore kwa sababu mbalimbali kama vile kuepuka yaliyomkuta Thomas Sankara yasimkute Ibrahim Traore, kutowaamini wanasiasa, kutoziamini nchi za Magharibi na kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na Rais Ibrahim Traore kurejesha usalama nchini Burkina Faso.
Vilevile Raia hao walisema wataendelea kujitolea kumlinda Rais Ibrahim Traore hadi hapo watakapojiridhisha kuwa hakuna kitisho chochote cha usalama dhidi ya Rais Traore msisitizo ikiwa ni " kabla yeyote mwenye nia mbaya hajamfikia Ibrahim Traore,lazima apite kwao kwanza"
Source:
View attachment 3182588
View attachment 3182594
Nilitaka kusema hivyo hivyo 🤣 🙌Baadae wanageuka kuwa vikundi vya uasi
Kwann huwa mnawashobokea sana wazungu, kama anamchukia ana sababu za kumchukia we inakuhusu nini ?asili ya mtu mweusi ni ujinga , baada ya miaka 5 wakianza pigwa na matatizo wanaanza msingizia marekan na mwarab , we subir , unampenda kiongoz kisa hawapend wazungu na sio kuangalia uwajibikaji wake