Raia wa Armenia waingia barabarani wakiagiza nchi yao iondoke kwenye muungano na Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale.

==========

Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty Organisation (CSTO).

The organisation is a Russian-led military alliance that includes several former Soviet nations, including Armenia.

Azerbaijan, Armenia’s neighbour, is not part of the organisation.

The demonstrators argued the alliance did not do enough to protect their country during recent fighting with Azerbaijan. And they called for Yerevan to move closer to Western powers.

"The US and Europe are our last hope,” said a woman at the protest. “I am here today because I want us to get out of the CSTO.

“The CSTO has become a useless organisation for our state. It does not do anything. It does not help it."

Another protester said: "this thing called the CSTO is only there to defend Russia’s interests.

“This organisation had to help Armenia during the war, and it did not help.”

The calls come after fighting broke out along the Armenia-Azerbaijan border last week.

Euro News
 
Wao wanajisumbua TU. Hivi wanafikili Urusi angelifanyaje? Azerbaijan Ina Back-Up ya Uturuki Kijeshi. Uturuki imeweka Kambi ya Kijeshi pale Azerbaijan baada ya ile Vita ya NARGRO-KARABAHKH Mwaka 2020 Kati ya Armenia na Azerbaijan. Licha ya Back-Up ya Urusi,Armenia alipokea Kichapo kikali mpaka akaachia maeneo. Azerbaijan inaungwa mkono na Israel na Iran pia. Kwahiyo hiyo Vita Ni nzito ndio Urusi kajikausha.
 
Kwa sasa Urusi alishaonekana mdhaifu, hivyo viinchi vyote vilivyokua vinamtegemea vitamhama.
 
Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale.

==========

Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty Organisation (CSTO).

The organisation is a Russian-led military alliance that includes several former Soviet nations, including Armenia.

Azerbaijan, Armenia’s neighbour, is not part of the organisation.

The demonstrators argued the alliance did not do enough to protect their country during recent fighting with Azerbaijan. And they called for Yerevan to move closer to Western powers.

"The US and Europe are our last hope,” said a woman at the protest. “I am here today because I want us to get out of the CSTO.

“The CSTO has become a useless organisation for our state. It does not do anything. It does not help it."

Another protester said: "this thing called the CSTO is only there to defend Russia’s interests.

“This organisation had to help Armenia during the war, and it did not help.”

The calls come after fighting broke out along the Armenia-Azerbaijan border last week.

Euro News

Mambo mengine bwana!! Kwani kuwa na military bases za mataifa ya magharibi au mashariki is it an issue? Nyie mbona nchini mwenu mna military bases za mataifa ya mabeberu yamewasaidia nini kupambana na Al Shabab - hakuna!! Badala yake mnakimbilia kuchunguza chunguza vijisababu vidogo vidogo kwenye vita inayo endelea huko Ukraine mna vi-blow out of proportion wakati mnajua fika kwamba sources zenu ni highly questionable yaani mnawafanya watu kama hawajaenda shule vile!!

Nani ambaye hajui kwamba kinacho endelea huko Armenia kinatokana na ma-instigator kutoka western intel agencies na NGO za uongo na kweli, lengo hasa ni kuchochea colour revolution - yaani ya Ukraine mwaka 2014 ndio wanataka yajirudie tena huko Armenia -bahati nzuri China na Urusi walisha sema hawataruhusu ujinga huu kuendelea kuota mizizi.

Yetu macho, tusubiri kuona nini kitajitokeza hapo baadae - lakini mara zote ukweli utabaki pale pale kwamba majajusi wa Aglo-Saxon will never succeed kuleta vurugu na kusimika Serikali wanazo zitaka wao kwa ajili ya maslahi mapana ya Matifa ya magharibi - kwa bahati nzuri Mataifa mengi yamekwisha washutukia.
 
Ha ha ha!! Military base ya Urusi ipo kama mbinu za kulinda Armenia, kama alivyofanya Belarus ambapo anakandamiza hadi raia wa huko.
Lakini sasa udhaifu wa Urusi umefanya viinchi vyote vinavyomtegemea kupokea kichapo na hawezi kufanya kitu.
Atahamwa na wote, hata wale waarabu wenu watamhama maana amekua useless.
 
Ushirika wowote na Russia au China ni hasara tu. Tunaona mataifa yaliyo na ushirika nao kama Iran, North Korea, Syria, Venezuela na Zimbabwe ni wachovu ile mbaya.

Hawana msaada wowote kwako unapokuwa umetengwa na mataifa ya magharibi na uchumi wako utaporomoka huku wakikutizama tu kama picha. Bure kabisa.
 
Ha ha ha!! Military base ya Urusi ipo kama mbinu za kulinda Armenia, kama alivyofanya Belarus ambapo anakandamiza hadi raia wa huko.
Lakini sasa udhaifu wa Urusi umefanya viinchi vyote vinavyomtegemea kupokea kichapo na hawezi kufanya kitu.
Atahamwa na wote, hata wale waarabu wenu watamhama maana amekua useless.

Please revisit your comments, do they run in sync kwa kile nilicho fafanua mimi - kwa nini unapenda penda sana ku-derail kile kinacho zungumzwa, hasa unapokosa hoja/majibu yenye mshiko!!
 
Na Hilo ndo lilikuwa Lengo hasa la west kumdhohofisha dikiteta Putin Ili asilete Tena kimbelembele kwenye mambo Kama haya,

Naona wanazidi kufanikiwa kwa kiasi kikubwa

Dunian lazima tuwe na kilanja mmoja tu,mafahari wawili hawakai zizi Moja,
 
Mambo mengine bwana!! Kwani kuwa na military bases za mataifa ya magharibi au mashariki is it an issue? Nyie mbona nchini mwenu mna military bases za mataifa ya mabeberu yamewasaidia nini kupambana na Al Shabab - hakuna!! Badala yake mnakimbilia kuchunguza chunguza vijisababu vidogo vidogo kwenye vita inayo endelea huko Ukraine mna vi-blow out of proportion wakati mnajua fika kwamba sources zenu ni highly questionable yaani mnawafanya watu kama hawajaenda shule vile!!

Nani ambaye hajui kwamba kinacho endelea huko Armenia kinatokana na ma-instigator kutoka western intel agencies na NGO za uongo na kweli, lengo hasa ni kuchochea colour revolution - yaani ya Ukraine mwaka 2014 ndio wanataka yajirudie tena huko Armenia -bahati nzuri China na Urusi walisha sema hawataruhusu ujinga huu kuendelea kuota mizizi.

Yetu macho, tusubiri kuona nini kitajitokeza hapo baadae - lakini mara zote ukweli utabaki pale pale kwamba majajusi wa Aglo-Saxon will never succeed kuleta vurugu na kusimika Serikali wanazo zitaka wao kwa ajili ya maslahi mapana ya Matifa ya magharibi - kwa bahati nzuri Mataifa mengi yamekwisha washutukia.
brainless thinking others are brainless too
 
Please revisit your comments, do they run in sync kwa kile nilicho fafanua mimi - kwa nini unapenda penda sana ku-derail kile kinacho zungumzwa, hasa unapokosa hoja/majibu yenye mshiko!!

Unalia lia nini sasa, ulitaka niseme nini wakati umedhihirisha mapungufu yako kwa kusema kisa base ya Marekani iko Kenya hivyo magaidi wa Alshabaab walipaswa wasishambulie, niliposoma huo ulinganifu sikuhangaika kusoma kingine chochote.
Na kwa taarifa yako, Armenia is part of Russian lead defence treaty kwa hivyo Urusi ilipaswa kuwa mstari wa mbele kuilinda Armenia kutoka kwa kichapo cha Azerbaidjan......
 
Back
Top Bottom