Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

Nchi imekuwa shamba la Bibi kweli kweli. Uhamiaji pitieni kwenye viwanda vya wahindi, wachina Waarabu na wapakstani, huko kuna wageni kibao wanaofanya kazi bila vibali. Yani mtu anakuwa na visitors visa lakini anafanya chochote atakacho what a shame.
Hayo yote kayarudisha bibi tozo Magufuli aliweka watu makini kwenye kutoa vibali vya kazi lakini Bibi tozo alivyo ingia ikulu akaanza na kamishna wa idara ya kazi kwakuwa alikuwa ana wabana wahindi na wachina kuwapa vibali vya kazi na sasa nchi imefunguliwa ni vurugumechi hakuna ulinzi tena kila mtu ana kula kwa urefu wa kamba yake na kupishana angani kama nchi inawaka moto
 
Wachina wamejaa huku nchini hawana vibali mnahangaika na mwafrika mwenzetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…