Raia wa kawaida akiona viongozi ni wapigaji na yeye hadai risiti Ili apunguziwe bei. Nimelikumbuka Azimio la Arusha!

Raia wa kawaida akiona viongozi ni wapigaji na yeye hadai risiti Ili apunguziwe bei. Nimelikumbuka Azimio la Arusha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakati mwingine mjadala ya kinyang'au huwachochea Wananchi nao wavunje sheria

Wananchi Hawa siyo Wajinga ndio sababu tunasisitiza Uzalendo uanzie Juu kushuka Chini na si kinyume chake

Wakati wa Azimio la Arusha mjadala wa Bashe na Mpina Usingekuwepo Kwa sababu ya miiko ya Uongozi

Miiko ingemzuia Bashe Kutoa Vibali Utatani

Miiko ingemzuia Mpina kuongea Kwa niaba ya viwanda binafsi

Nairobi 😃😃
 
Back
Top Bottom