Raia wa kawaida kumiliki pingu ?

Raia wa kawaida kumiliki pingu ?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habari wakuu

Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu, lakini inashauriwa kuwa matumizi yake yawe ya busara na kwa nia njema.[emoji116]

Naomba anayefahamu kwa hapa morogoro wanapouza vifaa vya usalama kama pingu n.k na gharama yake

Asanteni.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kama raia anamiliki "MKWAJU" sembuse "Bangili"?
 
Kwa Moro, nenda pale karibu na bank ya equity kabla hujavuka daraja ukiwa unatokea stand ya hiace zamani (round about) UKIFIKA ni karibu na msafiri pharmacy nadhan linaitwa duka la mzinga
 
Mkuu rabsha ambazo nimeziona kwa familia za marafiki zangu wengine wangekuwa na kifaa hicho wangetumia fasta. Jamaa yangu mmoja walipangana ngumi mchana kweupe na mke wake ambaye ni chibonge,huyu mama akiwa uchi kabisa bila pichu. Ktk
[emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Moro, nenda pale karibu na bank ya equity kabla hujavuka daraja ukiwa unatokea stand ya hiace zamani (round about) UKIFIKA ni karibu na msafiri pharmacy nadhan linaitwa duka la mzinga
Sawa ngoja nifuatilie

Back
Top Bottom