Raia wa kawaida kumiliki pingu ?

Raia wa kawaida kumiliki pingu ?

Mkuu mimi nina kasheshe sio.poa...
Uliza huku hom walikuja jamaa flan wanajiita COSOTA sijui wakataka kukamata vifaa vyangu et wansema sina hati miliki...

Et wananitishia pingu aloooh huo moto.
Mpaka sasa hapa mtaani kuna watu wanajua mimi nina connection huko.juu
😃😄😄😄Walitaka vibali vya camera Nini
 
Habari wakuu

Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu, lakini inashauriwa kuwa matumizi yake yawe ya busara na kwa nia njema.[emoji116]


Naomba anayefahamu kwa hapa morogoro wanapouza vifaa vya usalama kama pingu n.k na gharama yake

Asanteni.


Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwamuelekeo huo Kuna mwanandoa atamtwanga pingu mwenza wake. Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom