baharia 1
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 1,580
- 1,773
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu mkuu, kesi za watu kuvitumia, zimekuwa nyingi 2024, hasa katika kumaliza ubishi, nimeuza shotgun 1 pistol 1
😄😄 Maana watoto wa afu mbili kwa kuiga mambo..Chonde chonde usijaribu kukitumia kwa ubavu wako wa pili
[emoji1][emoji1][emoji1]Au unataka ukaitumie kwenye BDSM Watu mna mambo
[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1] Maana watoto wa afu mbili kwa kuiga mambo..
Mkuu mimi nina kasheshe sio.poa...Anza na Hawa Poor Brain na mwenzie min -me 😄😄😃
😃😄😄😄Walitaka vibali vya camera NiniMkuu mimi nina kasheshe sio.poa...
Uliza huku hom walikuja jamaa flan wanajiita COSOTA sijui wakataka kukamata vifaa vyangu et wansema sina hati miliki...
Et wananitishia pingu aloooh huo moto.
Mpaka sasa hapa mtaani kuna watu wanajua mimi nina connection huko.juu
Kwamuelekeo huo Kuna mwanandoa atamtwanga pingu mwenza wake. Ngoja tuoneHabari wakuu
Nataka Kununua pingu kwa ajili ya kujilinda, Najua kwa raia wa kawaida nchini kwetu hapa si kosa kisheria kumiliki pingu, Hata hivyo polisi wanasema hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu, lakini inashauriwa kuwa matumizi yake yawe ya busara na kwa nia njema.[emoji116]
Raia kumiliki pingu si kosa - Polisi
JESHI la Polisi nchini limesema kuwa hakuna sheria inayokataza raia kumiliki pingu licha ya jeshi hilo kuwa na mwongozo wa utaratibu wa matumizi ya vifaa hivyo kwa askari wake. Aidha jeshi hilo limetoa mapendekezo serikalini ya kutungwa kwa sheria itakayozuia raia kumiliki kifaa hicho...www.jamiiforums.com
Naomba anayefahamu kwa hapa morogoro wanapouza vifaa vya usalama kama pingu n.k na gharama yake
Asanteni.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app