joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Kenya not yet Uhuru. Wapi Uhuru wa kujieleza, hivi wakenya haya mambo yataisha lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezikani Tanzania polisi wampige raia risasi kwa sababu amepita katika Shamba la mtuNenda ka trespass katika shamba la mengi uone km utaachwa salama
Kweli hiyo haipo hapa bongoHaiwezikani Tanzania polisi wampige raia risasi kwa sababu amepita katika Shamba la mtu
Wanafiki sana nyie viumbe. Sisi tulio mipakani ndio tunawafahamu vizuri. Mliwafurusha maelfu na maelfu ya wa-Arusha maeneo ya Loliondo, tena kwenye ardhi ya mababu zao, sio ya mtu yeyote mwingine.Haiwezikani Tanzania polisi wampige raia risasi kwa sababu amepita katika Shamba la mtu
Kajaribu uone bana acha maneno mengi, hapo ndipo utajua maana halisi na madhara ya ku trespassHaiwezikani Tanzania polisi wampige raia risasi kwa sababu amepita katika Shamba la mtu
Wapuuzi hao majamaa[emoji23][emoji23]Wanafikini sana nyie viumbe. Sisi tulio mipakani ndio tunawafahamu vizuri. Mliwafurusha maelfu na maelfu ya wa-Arusha maeneo ya Loliondo, tena kwenye ardhi ya mababu zao, sio ya mtu yeyote mwingine.
Hadi mkateketeza nyumba zao na mifugo yao mkaiangamiza, kwa kuwatumia polisi kizuia mifugo yao inywe maji, kwenye vidimbwi vya kuokotea maji ya mvua.
Hayo yote kisa waarabu wa Emirati wapate sehemu ya kuwindia wanyama wa pori. Ambao ni urithi wa hao hao masikini wamaa, watanzania wenzenu, ambao mliwadhulumu bila aibu. Bure kabisa!
![]()
Adhabu yake ni kifo???????Trespass ni kosa kubwa sana, huwezi kukatiza tu shamba la mtu.
Boss, funguanga thread za vitu kama hizi ili waone unafiki wao. Wabongo wakiongea huwezi jua wametawaliwa na outsiders kwa hiyo nchi yao. 🤣 🤣 🤣 🤣Wanafikini sana nyie viumbe. Sisi tulio mipakani ndio tunawafahamu vizuri. Mliwafurusha maelfu na maelfu ya wa-Arusha maeneo ya Loliondo, tena kwenye ardhi ya mababu zao, sio ya mtu yeyote mwingine.
Hadi mkateketeza nyumba zao na mifugo yao mkaiangamiza, kwa kuwatumia polisi kizuia mifugo yao inywe maji, kwenye vidimbwi vya kuokotea maji ya mvua.
Hayo yote kisa waarabu wa Emirati wapate sehemu ya kuwindia wanyama wa pori. Ambao ni urithi wa hao hao masikini wamaa, watanzania wenzenu, ambao mliwadhulumu bila aibu. Bure kabisa!
![]()
Kabisa..thread km hizi ndipo utajua uwezo wao wa kufikiri, jamaa zaidi ya battle hawajui kitu kingine zaidi sana sana iwe ni swhemu ya kutumia ubongo ipasavyoBoss, funguanga thread za vitu kama hizi ili waone unafiki wao. Wabongo wakiongea huwezi jua wametawaliwa na outsiders kwa hiyo nchi yao. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wacha kupoteza malengo, Tanzania haiwezikani mtu apigwe risasi na polisi wa serikali kwa kulinda Shamba la mtu binafsi, hiyo haiwezi kutokea Tanzania, hao wamasai walifurushwa kutoka hifadhi ya Taifa sio Shamba la mtu binafsi na hakuna aliyepoteza maisha.Wanafikini sana nyie viumbe. Sisi tulio mipakani ndio tunawafahamu vizuri. Mliwafurusha maelfu na maelfu ya wa-Arusha maeneo ya Loliondo, tena kwenye ardhi ya mababu zao, sio ya mtu yeyote mwingine.
Hadi mkateketeza nyumba zao na mifugo yao mkaiangamiza, kwa kuwatumia polisi kizuia mifugo yao inywe maji, kwenye vidimbwi vya kuokotea maji ya mvua.
Hayo yote kisa waarabu wa Emirati wapate sehemu ya kuwindia wanyama wa pori. Ambao ni urithi wa hao hao masikini wamaa, watanzania wenzenu, ambao mliwadhulumu bila aibu. Bure kabisa!
![]()
Hii ishu hujui kitu, afu ilishasolviwa kitambo, na Tz, ardhi yote ni ya serikali, hakuna cha ardhi ya Bibi wala babu, waarabu walikuja na mkwanja mrefu na misaada mob kwa jamii ya hilo eneo, sina muda wa paragraphs, nikuache na ujinga wako, ila bongo si KenyaWanafikini sana nyie viumbe. Sisi tulio mipakani ndio tunawafahamu vizuri. Mliwafurusha maelfu na maelfu ya wa-Arusha maeneo ya Loliondo, tena kwenye ardhi ya mababu zao, sio ya mtu yeyote mwingine.