pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kama kuna malengo ambayo nayapoteza ni hayo yako ya kinafik. Ardhi ambayo ilikuwa inapewa waemirati haipo ndani ya mipaka ya mbuga la wanyama. Unasema hakuna aliyepoteza maisha yake Loliondo, kwenye shughuli zenu za kuwafurahisha waarabu wa OBC, wakati policcm wenu waliwabaka hadi kina mama wajawazito na wakapoteza watoto wao?Wacha kupoteza malengo, Tanzania haiwezikani mtu apigwe risasi na polisi wa serikali kwa kulinda Shamba la mtu binafsi, hiyo haiwezi kutokea Tanzania, hao wamasai walifurushwa kutoka hifadhi ya Taifa sio Shamba la mtu binafsi na hakuna aliyepoteza maisha.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mbona hukukemea dhulma kama hizo dhidi ya watanzania wenzako, kama ni kweli kwamba unaelewa haki ni nini?
Nadhani waarabu walifurahi sana kusikia kwamba serikali yenu iliwatesa wamaasai zaidi ya 30,000 kwa mtindo huu hapa na kwamba mliangamiza ng'ombe wao zaidi ya 50,000.