Raia wa Kenya auawa na Polisi kwa kuchunga ng'ombe ndani ya Shamba la bwenyenye mzungu

Kama kuna malengo ambayo nayapoteza ni hayo yako ya kinafik. Ardhi ambayo ilikuwa inapewa waemirati haipo ndani ya mipaka ya mbuga la wanyama. Unasema hakuna aliyepoteza maisha yake Loliondo, kwenye shughuli zenu za kuwafurahisha waarabu wa OBC, wakati policcm wenu waliwabaka hadi kina mama wajawazito na wakapoteza watoto wao?
Mbona hukukemea dhulma kama hizo dhidi ya watanzania wenzako, kama ni kweli kwamba unaelewa haki ni nini?

Nadhani waarabu walifurahi sana kusikia kwamba serikali yenu iliwatesa wamaasai zaidi ya 30,000 kwa mtindo huu hapa na kwamba mliangamiza ng'ombe wao zaidi ya 50,000.
 
Eti sasa wewe long'ui ndio unajua zaidi yangu ukiwa huko huko Morogoro, kae moda ninye? [emoji1]
Wa-Arusha walipata nini cha maana kutoka kwa muarabu? Ambaye alitua na ndege zake kwenye viwanja vyake 'private', ndani ya sehemu ambayo wazawa hawakubaliwi kuingia. Akitumia hadi mitandao yake ya simu akiwa kwenye starehe zake za kuwapiga risasi ndovu, nyati, simba na chui ambao wamaasai wameishi wakiwatunza kwa miaka na mikaka?

Sasa visima kadhaa ambavyo muarabu alichimba na madarasa kadhaa ambayo alijenga. Ndio vilikuwa hongo la kuwahadaa wazawa wa Loliondo, ili wakubali kuibiwa urithi wao mchana kweupe?

Ila hujakosea, Kenya sio Tz ambapo wanaume wa kimaa Loliondo walifungwa kwa minyororo na kudhalilishwa na polisi, mbele ya wake zao na watoto wao. Ndani ya ardhi ya mababu zao, kwa faida ya mwarabu wa UAE.
 
SEMA KIMEUMANA [emoji1787][emoji1787]
 
This is serious boss. Heri hii ya kwetu Cholmondeley kamuua aliyetresspass alafu akahukumiwa na kuwekwa jela. Hii ya serikali kudhalilisha wananchi wake kumfurahisha Mwarabu inasikitisha. Alafu watakuambia humu eti sisi ndio vibaraka wa wazungu.
 
kwasababu kauliwa na beberu ndo maana umeiandika
huku kwetu wanauana kila siku wakulima na wafugaji

ndugu kuuwana ni kichaa,ila kuawa na mtu baki ni tatizo.
 
waliuawa wote!!!!
 
This is serious boss. Heri hii ya kwetu Cholmondeley kamuua aliyetresspass alafu akahukumiwa na kuwekwa jela. Hii ya serikali kudhalilisha wananchi wake kumfurahisha Mwarabu inasikitisha. Alafu watakuambia humu eti sisi ndio vibaraka wa wazungu.
Hamkumbuki wale wakenya waliovunjiwa Nyumba Zao Nairobi wakalala nje wakinyeshewa mvua katikati ya janga la Corona?, vipi kuhusu wakenya waliofurushwa toka Mao forest?.

Leta ushahidi usio na shaka kwamba hao wamasai walifurushwa toka hifadhi ili kumpisha mwarabu, Tanzania hakuna mgeni anayemiliki hata hekari moja ya ardhi, huo upuuzi ni huko kwenu, lete ushahidi wa mtanzania mmoja aliyeuliwa na polisi kwa sababu ya kuvamia ardhi ya mtu binafsi Mimi nitakupa orodha ya wakenya 10 waliouliwa kwa kugusa ardhi ya wazungu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
This is serious boss. Heri hii ya kwetu Cholmondeley kamuua aliyetresspass alafu akahukumiwa na kuwekwa jela. Hii ya serikali kudhalilisha wananchi wake kumfurahisha Mwarabu inasikitisha. Alafu watakuambia humu eti sisi ndio vibaraka wa wazungu.
Wacheni ujinga wa polisi kuua mkenya kwa ajili ya wazungu, mnatia aibu Africa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Waliobomolewa nyumba walikua wamejenga kwa Riparian land. Waliofurushwa Mau walikua wamejenga kwenye the most important forest in Kenya. Huwezi pata wanafurushwa ili Mwarabu ama mzungu apate mahali pa kuwinda - huo ujinga uko bongo.
 
Hahahaha, wanaopigwa risasi na polisi kwa sababu ya kupita katika Shamba la mzungu he?. Stupid nation, risasi ya serikali mnayoinunua kwa kodi zenu ndiyo inayotumika kuwauwa wenyewe ili kulinda wazungu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Waliofurushwa ni wakenya waliojifanya watanzania, wakagombea hadi udiwani na kuanzisha vi ngo kibao
 
Waliofurushwa ni wakenya waliojifanya watanzania, wakagombea hadi udiwani na kuanzisha vi ngo kibao
Acha upumbavu wewe, thibitisha kwamba walikuwa wakenya. Watu zaidi ya 50,000, ambao sio watanzania, wataishi vipi kwenye sehemu ya zaidi ya kilomita 1,500 squared? Sehemu ambayo ndio walikuwa wanataka kupokonywa, ndani ya mipaka ya Tz? Unafiki wenu hauna mipaka, mlipowapa kadi za CCM hamkujua kwamba sio watanzania?

Ila niliwaheshimu sana Wa-Arusha, maanake kilipoumana walijitoa mhanga kufa ndani ya ardhi yao, liwe liwalo! Alafu wakatanguliza mapambano kwa kuzitia moto, bila kusita sita, kadi zao zote za uanachama wa fisiemu. Kwasababu walimjua vyema mchawi wao na rangi zake zote.
 
Mpumbavu baba yako na mama yako, umekosa hoja hadi ukakimbilia kutukana.
Kama unajua kutukana ungewatukana polisi wqliompiga risasi raia.
 
Mpumbavu baba yako na mama yako, umekosa hoja hadi ukakimbilia kutukana.
Kama unajua kutukana ungewatukana polisi wqliompiga risasi raia.
Niwie radhi jombaa, ilifaa nitangulize kwa, ashakum sio matusi. Maanake utumbo kama huo uliotupia hapo, bila kuthibitisha madai yako, sio wa kawaida kwenye jukwaa hili. Labda ndio mazoea yenu, kwenye lile jukwaa lenu pendwa la MMU. Ila humu huwa ni 'facts' kuenda mbela, sio umbea. Tumeelewana sasa?
 
Hatuwezi kuelewana wewe ungejibu fact ulizonazo huku ukizingua na wewe unazinguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…