Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha makasiriko kwani wamesema huko haziendi?Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
Kwa hiyo unaona raia wa kigeni wapo kwenye soka tu?Raia wa kigeni wanaocheza soka lakulipwa nchini kwanini wananufaika na fedha zetu walipa kodi, kwanini hizo fedha zisiebde kwa watoto wetu wachezaji wa mashuleni umiseta na umitashumta?
Acha ujinga unataka nisikasirikeAcha makasiriko kwani wamesema huko haziendi?
Sasa kazi za hao watu huoni faida zakeKwa hiyo unaona raia wa kigeni wapo kwenye soka tu?
Hata akiwa anafundisha MUHAS, UDSM au ni mkandarasi wa barabara au ujenzi, bado kuna namna anatafuna kodi za waTZ.
Kwa hiyo hujaona umuhimu wa wachezaji wa kigeni kwenye kuinua soka la Bongo pamoja na ligi zetu?Sasa kazi za hao watu huoni faida zake