Raia wa kigeni wanafanya kazi hawapewi pesa za bure, wanajituma uwanjani, soka letu linakua , udhamini unaongezeka, biashara bongo zinakua, jina la Tanzania linapaa, faida yao ni kubwa kuliko hasara, halafu hata ukigawa hizo pesa hata milioni mbili haifiki kwa kila Mchezaji, simba mdebwedo wana nongwa sana tangu uto tuwakalishe chini!!
Yanga bingwa na hizi hasira ,nongwa , roho mbaya, bifu , gubu na mayowe ya makolo vitaenda na upepo wa Bimkubwa hadi siku atakapoaga na kurudi kizimkazi 2031 na nusu!
Yani simba inawauma sana kuona kapu la mpunga wa Maza linapukutika na pesa yote inaishia kibindoni jangwani!!!