Raia wa Mali aliyekuwa Maarufu Tiktok auawa kwa kusifia Jeshi

Raia wa Mali aliyekuwa Maarufu Tiktok auawa kwa kusifia Jeshi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa mujibu wa Meya wa Timbuktu, Yehia Tandina, Cissé alitekwa Ijumaa akiwa sokoni katika eneo la Echel, na siku iliyofuata majira ya jioni watu hao walimrudisha katika Uwanja wa Uhuru wa Tonka na kumuuwa hadharani mbele ya umati wa watu. Meya wa Tonka, Mamadou Konipo, alithibitisha tukio hilo lakini hakutoa maelezo zaidi.

Tonka ni kijiji kilichopo kandokando ya Mto Niger, takriban kilomita 150 kutoka Timbuktu, ambapo wanamgambo wa kundi linalohusishwa na al-Qaida, Jama’at Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin (JNIM), wanajulikana kufanya shughuli zao. Ingawa hakuna kundi lililodai kuhusika na mauaji hayo, inadaiwa kuwa Cissé alipokea vitisho vya kifo siku chache kabla ya kutekwa, kutokana na video na picha alizokuwa akiposti akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kwa zaidi ya wafuasi 140,000.

============

Armed men in Mali killed a TikTok influencer who had posted videos in support of the West African nation's military, authorities said Monday.

“The young TikTok user Mariame Cissé was abducted by armed men on Friday while she was at the weekly market in Echel ... The following day, at dusk, the same men brought her back to Independence Square in Tonka and executed her in front of a crowd,” Yehia Tandina, the mayor of Timbuktu, told The Associated Press.

The mayor of Tonka in the Timbuktu region, Mamadou Konipo, confirmed the killing but said he didn't have more information.

Tonka is a village along the Niger River, roughly 150 kilometers (93 miles) from Timbuktu. Members of the al-Qaida affiliate Jama’at Nusrat ul-Islam wa al-Muslimin, or JNIM, are known to operate there

No group has taken responsibility for the killing

Cissé, who was not a member of the military, sometimes posted images of herself in military fatigues to her more than 140,00 followers, which is thought to have drawn attention from the armed men

According to the Timbuktu mayor, Cissé received death threats several days before she was abducted

Mali has been battling armed groups since 2012, a fight that has escalated over the past decade. The military seized power in 2020 on the pretext of curtailing the insecurity. Another officer seized power in a coup the following year. Insecurity has worsened since then, according to monitoring groups

Armed groups, primarily JNIM, operate in large swathes of rural regions. The landlocked nation is currently under a fuel blockade by JNIM
 
Back
Top Bottom