Raia Wa Oman Ana Kitambulisho Cha Nida Mpiga Kura na Nyaraka zingine Akamatwa na Uhamiaji

Raia Wa Oman Ana Kitambulisho Cha Nida Mpiga Kura na Nyaraka zingine Akamatwa na Uhamiaji

Hao madogo kwa malipo ya 10000 tu wamenunua kesi kubwa kwa hiari yao
 
Ila stationery nyingi mjini ni viwanda vya fojarii. Huyo 40 yake imefikaa.
Huyo mwarabu hakupaswa kutaja alipotoa hvo vitu. Alipaswa afe na tai shingoni asikamatishe watu wengine. Muoga huyo
 
Haya Mambo ya kutaitiwa utaje ulipovitoa ili usaidiwe yalishanitokea 😂😂😂😂
Wakatishia weeeeeee ila kidogo nilegee nisanue watu... Ila kama nikapata nguvu sikutaja mtu mwisho wakapotezea na ishu ikajaisha ila nilikondaaa
 
Back
Top Bottom