Raia Wa Oman Ana Kitambulisho Cha Nida Mpiga Kura na Nyaraka zingine Akamatwa na Uhamiaji

Raia Wa Oman Ana Kitambulisho Cha Nida Mpiga Kura na Nyaraka zingine Akamatwa na Uhamiaji

Kuna wafanyakazi kibao ambao shule zao walizosoma na wakuu wa vyuo ni STATIONARIES
 
huyu mwarabu namjua. jamaa humble sana. na Kiswahili anaongea vizuri sana. na anaji expose instagram nikajua ni mzanzibari

mkuu hao wanakuwa ni wazanzibari waliopata assport Oman, so kwa vile nchi zetu hazikubali raia pacha so huwa wanabaki napassport za OMan tu.
 
huyu kamanda ni ovyo sana, sasa mtu anawezaje kujipenya kwenye nafasi za uchaguzi au kuombea passpot kwa Nida fake iliyotengenezwa stationary za vichochoroni?
 
Back
Top Bottom