A
Anonymous
Guest
Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni wahusika wa ule mgahawa wanaangalia taarifa kwenye simu yao na wapo makini sana. Taarifa hiyo ilionekana mtu mmoja ambaye alionekana kuwa mwanajeshi wa Rwanda anazungumza kinyarwanda na baadhi ya wanajeshi wenzake.
Kilichonishangaza ni vijana wale kushituka walipogundua nipo karibu yao NAMI naangalia video clip hiyo, walichokifanya waliondoa haraka video hiyo na kuonesha hali ya kupanic usoni mwao. Mie nilivunga na kuifanya sijaelewa chochote.
Sasa hili ni alarm kwa mamlaka za ndani ya nchi kupitia upya sera za uhamiaji na kuwadhibiti hawa raia wa kigeni wasio na vibali hasa Hawa wanaotokea Rwanda.