Raia wa Sweden kuchoma Kitabu Kitukufu. Je, kukosa heshima kwa Kitabu Kitukufu inawahusu wao peke yao?

Raia wa Sweden kuchoma Kitabu Kitukufu. Je, kukosa heshima kwa Kitabu Kitukufu inawahusu wao peke yao?

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Kitendo hiki cha kuchoma Qurani kilitokea katika siku ya kwanza ya sikukuu kuu ya Waislamu ya Eid al-Adha. Kitendo hiki kililaaniwa sana kama "kitendo cha chuki" na "dharau" kwa kitabu kitukufu cha Allah.

Swali langu Je lipi ni tendo baya zaidi kukifanyia kitabu cha Mwenyezi Mungu kati ya kuchoma na kukitupia kitabu hicho chooni kiende na kinyesi? Huko Saudi Arabia Quran imebainika kwenye sewerage (mifereji ya vyooni). Ona hii video hapa chini

 
Saudi arabia si ndio huko wamejaa waislam i,akuwaje tena kwenye miferwji ya chooni
 
Katika perspective ya Atheist tunaweza kuona sio uungwana kuchoma kitabu cha dini ya imani ya mtu mwingine.

Lakini kwa perspective ya kidini ni tofauti.

Kwasababu hicho ni kitabu kinachodaiwa kuwa ni cha Mungu wa kweli na tena hakina shaka kabisa.

I'm pretty sure ndani yake kuna verses zinazosomeka "kila kitu ni mipango ya Mungu"

Sasa kwa mantiki hiyo sioni sababu ya waumini kumuona mtu huyo aliyechoma ni mbaya wakati wanajua kabisa kuwa kafanya kile alichoumbiwa aje akifanye.
 
Hizi mada mpaka zinachosha!

Kwani si huwa hivyo vitabu vinahifadhiwa vichwani na mpaka watoto wadogo sasa shida iko wapi vikiisha si vitaandikwa tu vingine kutokana na waliovihifadhi mbona mna-complicate sana maisha?
 
Back
Top Bottom