Katika perspective ya Atheist tunaweza kuona sio uungwana kuchoma kitabu cha dini ya imani ya mtu mwingine.
Lakini kwa perspective ya kidini ni tofauti.
Kwasababu hicho ni kitabu kinachodaiwa kuwa ni cha Mungu wa kweli na tena hakina shaka kabisa.
I'm pretty sure ndani yake kuna verses zinazosomeka "kila kitu ni mipango ya Mungu"
Sasa kwa mantiki hiyo sioni sababu ya waumini kumuona mtu huyo aliyechoma ni mbaya wakati wanajua kabisa kuwa kafanya kile alichoumbiwa aje akifanye.