Raia wa Tanzania wadakwa na mabilioni nchini Malawi

Hawafananii billioni 3,,

hii ni script bwana,madogo hawana akili za kutengeneza B3 alafu wakose akili za kuivusha nchini.

📌Hivi walishindwa hata kununua madini pure gold na diamond wakaja nayo huku kama vito vya thamani🤔

📌Binance ipo pale wameshindwa kudeposit hiyo mali😅😅😅Karne ya 21 hii bado watu wanasafirisha hela kilofa hivyo hii ni michezo bwana??!!


Kama ni pesa zao hao madogo ni wazembe kiwango tukuka.Hiyo ilikuwa bingo ya once in a lifetime, umetoka kimaisha ukija bongo unazugazuga na miradi uchwara na vijumba vya kupangisha na viloji.Unabaki na kazi ya kula vitoto vya chuo🤗GADEMITT!!!
 
bilioni mbona walisha toba hao sijui wamezembea nini
 

Ndiyo ni FUTUHI.
 
Sasa naanza kuamini kuna watu walilipwa kuchoma haya mabasi na vituo vya mwendokazi maana kuna video zinaonyesha watu wavyoanzisha moto kiufundi kama ni wamesoma script

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…