Inaweza kuwa kweli lakini kwa Polis wetu hawa na tukio lilopo mbele sidhani. Hii inawezakana asilimia kubwa ikawa drama.Wachomwe na nani mkuu. Hiyo ni drama tu baadaye utaambiwa wamehojiwa ikaonekana pesa nilikuwa zinaletwa nchini ili zilipe waandamanaji.
naunga mkono hojaWachomwe na nani mkuu. Hiyo ni drama tu baadaye utaambiwa wamehojiwa ikaonekana pesa nilikuwa zinaletwa nchini ili zilipe waandamanaji.
Yeah, your suspicion may be true. Kwa umri wao sidhani kama wana akili ya kufanya “deal chafu” zenye michongo ya kuingiza kiasi hicho cha pesaHao vijana wameagizwa , wao ni watu wa delivery. Mwenye mzigo yupo...
Tena wanavyoonekana kwa muonekano tu ni kama walipewa mzigo wakaambiwa wasijaribu hata kuangalia kilichomo hadi wafikishe kwa muhusika..Yeah, your suspicion may be true. Kwa umri wao sidhani kama wana akili ya kufanya “deal chafu” zenye michongo ya kuingiza kiasi hicho cha pesa
Instinct zinananiambia kuwa wametumwa na akina Mwigulu, ili baadaye wahalalishe kauli zao.Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo.
Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo lilitokea Julai 1, 2026 katika kizuizi cha barabarani cha Chiweta, wilayani Rumphi, wakati wa operesheni maalumu ya ukaguzi.
Watuhumiwa walikuwa wakisafiri kwa gari aina ya Mazda Axela wakitokea Lilongwe kuelekea Tanzania, ambapo baada ya ukaguzi, askari walibaini fedha hizo zikiwa zimefichwa ndani ya gari.
Inadaiwa watuhumiwa walishindwa kuwasilisha nyaraka zozote zilizoruhusu umiliki wa kiasi hicho kikubwa cha fedha za kigeni.
Polisi wamekamata fedha hizo pamoja na gari lililotumika, huku watuhumiwa wakitarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kumiliki fedha za kigeni bila nyaraka halali na utakatishaji wa fedha baada ya taratibu za kisheria kukamilika.
Ni za CCM na serekali yake, rejea Kauli za Mwigulu za hivi karibuni.......".wanapewa hela ili kuvuruga amani yetu "Zitakuwa ni zao kweli??.😜😜
Wa Mwigulu haoMalawi wamechomwa na waliofanya biashara nao Lilongwe hapo wamepoteza mzigo bure na hela inarudi kwa mnunuzi hakuna kizuizi chochote huko wapo busy kukagua gari inayotoka zaidi zaidi watakupa salamu ya mulibwanji bhamdala...
Sababu ya pili wadogo wanaweza wakawa wamejichomesha ili wawagawie polisi kiasi huku kesi ikiwa ubaoni wao wanapata dhamana na kusepa kama ambavyo ililipotiwa jamaa alikamatwa na gari ya moto Msumbiji kumbe kajichomesha ili adhurumu tu..
Tatu inawezekana kweli wamekamatwa ila sio kwa kukagua gari hapana ni kwa mtu aliewachoma huko Lilongwe akawaacha wafike mbali ili kupoteza maboya..
Hawafananii billioni 3,,
hii ni script bwana,madogo hawana akili za kutengeneza B3 alafu wakose akili za kuivusha nchini.
Pesa ya chadema kutoka kwa wazungu kugharamia maandamano. Shame!!Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo.
Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo lilitokea Julai 1, 2026 katika kizuizi cha barabarani cha Chiweta, wilayani Rumphi, wakati wa operesheni maalumu ya ukaguzi.
Watuhumiwa walikuwa wakisafiri kwa gari aina ya Mazda Axela wakitokea Lilongwe kuelekea Tanzania, ambapo baada ya ukaguzi, askari walibaini fedha hizo zikiwa zimefichwa ndani ya gari.
Inadaiwa watuhumiwa walishindwa kuwasilisha nyaraka zozote zilizoruhusu umiliki wa kiasi hicho kikubwa cha fedha za kigeni.
Polisi wamekamata fedha hizo pamoja na gari lililotumika, huku watuhumiwa wakitarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kumiliki fedha za kigeni bila nyaraka halali na utakatishaji wa fedha baada ya taratibu za kisheria kukamilika.
Pesa ya Heche na kundi lakedadeq walikua washatoboa kama ni zao,, alf wamepoa wenyewe ama kweli pesa haina kelele
Tayari una majawabuWachomwe na nani mkuu. Hiyo ni drama tu baadaye utaambiwa wamehojiwa ikaonekana pesa nilikuwa zinaletwa nchini ili zilipe waandamanaji.