Raia wa Urusi wakerwa na kitendo cha kubadilishana mateka wa Ukraine 215 kwa Warusi 50

Raia wa Urusi wakerwa na kitendo cha kubadilishana mateka wa Ukraine 215 kwa Warusi 50

Mara waandamane kukaataa vita, sasa hivi wagomee kubadilishana mateka yaan wanataka hao mateka wauawe??
Hizi habari sijui kama unaleta kwa kutumia akili.
Huyu huku hakumfai sijui ana akili gani.
 
Urusi anapigana na marekani, wanaokumbuka vita ya israeli na misri kwenye eneo la sinai watakuwa wananielewa
Hilo lipo wazi sio marekan pekee mrusi anapigana na jeshi la nato
 
Back
Top Bottom