EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kumbuka WALI alisepa na hataki kusikia habari ya Russian army 🤣 🤣 🤣 pale sio uwanja wa mazoezi ni vitani haswaaMercenaries wanawekwa kama chambo............
Mkuu,kumbuka Tabloid za Uingereza zilivyo kuwa zinamuminia sifa kababe alipokuwa kwenye mapambano huko Ukrain, bila kusahau propaganda za CNN 24X7 kuhusu Mkanada huyo, cha ajabu alipo kimbia kutoka warfront kwa kutishwa na zahama za mizinga mfururulizo ya Urusi, CNN ili kaa kimya kabisa bila ya kwenda kumuhoji hero wao a so-called smart sniper - waliyeyuka kama barafu.Kumbuka WALI alisepa na hataki kusikia habari ya Russian army 🤣 🤣 🤣 pale sio uwanja wa mazoezi ni vitani haswaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imani ya vita vya sniper kwa kuipiga dubwana kama Urusi ....ni sawa sawa na imani ya vita vya majimaji na kinjeketile ngwale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu,kumbuka Tabloid za Uingereza zilivyo kuwa zinamuminia sifa kababe alipokuwa kwenye mapambano huko Ukrain, bila kusahau propaganda za CNN 24X7 kuhusu Mkanada huyo, cha ajabu alipo kimbia kutoka warfront kwa kutishwa na zahama za mizinga mfururulizo ya Urusi, CNN ili kaa kimya kabisa bila ya kwenda kumuhoji hero wao a so-called smart sniper - waliyeyuka kama barafu.
Kitu nilicho jifunza over the years ni kwamba: inept propaganda za western media mtu husichukulie seriously - kuna usanii na Uongo mwingi sana sana!!
Wanaleta mtu hajawahi kupambana uwanjani aende kupambana na wale wanyama? jamaa kaona isiwe tabu kwanza ana watoto wadogo wanamtegemea na mkewe bado murembo asijeolewa tena ye akivuta kwenye nchi za ng'ambo 😅 😅 😅 yale majamaa sio Talebani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imani ya vita vya sniper kwa uipiga dubwana kama Urusi ....ni sawa sawa na imani ya vita vya majimaji na kinjeketile ngwale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakazi iendeleeRaia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa.
Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia,"
Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa hayupo nchini Ukraine. Wapiganaji wengine wawili wa zamani wa Marekani waliopotea nchini Ukraine, Andy Huynh, 27 na Alexander Drueke, 39 wamezuiliwa na jeshi la Urusi.
Biden last week aliwaonya watu wake kutokwenda Ukrein maana kule sio Iraq wala LibyaKwa latest report iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia,ni Mamia ya Mamluki wa US waliouawa na wengi wamekimbia vita!
Ni wengi walio fyekwa na makombola ya SKANDAL,hasa wale walio kuwa wana hifadhiwa kwenye kambi ya jeshi mpakani na Poland - hicho kilikuwa ni kituo/kambi kubwa ya kupokea askali wa kukodi kutoka mataifa ya magharibi na kuwasambazwa warfront baada ya kupewa silaha ndogo na ammunitions.Kwa latest report iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia,ni Mamia ya Mamluki wa US waliouawa na wengi wamekimbia vita!
Msela nondo akatuma kombora hapohapo kwenye kisimi!?Ni wengi walio fyekwa na makombola ya SKANDAL,hasa wale walio kuwa wana hifadhiwa kwenye kambi ya jeshi mpakani na Poland - hicho kilikuwa ni kituo/kambi kubwa ya kupokea askali wa kukodi kutoka mataifa ya magharibi na kuwasambazwa warfront baada ya kupewa silaha ndogo na ammunitions.
Kambi hiyo vilevile ilikuwa inatumika kuwapa mafunzo askali wa Ukraine jinsi ya kutumia silaha za magharibi specifically mizinga na manpad, mafunzo hayo yalitolewa na wakufunzi wa kijeshi kutoka Uingereza na Amerika - kwa kifupi kambi hiyo ya jeshi kwenye mji wa Lyviv ilikuwa imesheni wanajeshi wa kukodi,wakufunzi wa kijeshi kutoka US na Uingereza pamoja na wanajeshi wa Ukraine waliokuwa kwenye mafunzo ya kitumia silaha za magharibi - washauri wa kijeshi wa Zelensky walijidanganya kwa kudhani mji wa Lviv huko mbali sana si rahisi kushambuliwa na Urusi na kwa kuwa huko mpakani na Poland basiUrusiitaogopa
Mkuu rudia kusoma uchambuzi wangu kuna para nimeongeza. CHEERS.Msela nondo akatuma kombora hapohapo kwenye kisimi!?
Kumbe ni mamluki?... Nilidhani ni askari wa US wamekimbia vita.Kwa latest report iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia,ni Mamia ya Mamluki wa US waliouawa na wengi wamekimbia vita!