Raia wa US anayepigana Ukraine auawa

Raia wa US anayepigana Ukraine auawa

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa.

Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia,"

Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa hayupo nchini Ukraine. Wapiganaji wengine wawili wa zamani wa Marekani waliopotea nchini Ukraine, Andy Huynh, 27 na Alexander Drueke, 39 wamezuiliwa na jeshi la Urusi.
 
Kumbuka WALI alisepa na hataki kusikia habari ya Russian army 🤣 🤣 🤣 pale sio uwanja wa mazoezi ni vitani haswaa
Mkuu,kumbuka Tabloid za Uingereza zilivyo kuwa zinamuminia sifa kababe alipokuwa kwenye mapambano huko Ukrain, bila kusahau propaganda za CNN 24X7 kuhusu Mkanada huyo, cha ajabu alipo kimbia kutoka warfront kwa kutishwa na zahama za mizinga mfururulizo ya Urusi, CNN ili kaa kimya kabisa bila ya kwenda kumuhoji hero wao a so-called smart sniper - waliyeyuka kama barafu.

Kitu nilicho jifunza over the years ni kwamba: inept propaganda za western media mtu husichukulie seriously - kuna usanii na Uongo mwingi sana sana!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imani ya vita vya sniper kwa kuipiga dubwana kama Urusi ....ni sawa sawa na imani ya vita vya majimaji na kinjeketile ngwale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]imani ya vita vya sniper kwa uipiga dubwana kama Urusi ....ni sawa sawa na imani ya vita vya majimaji na kinjeketile ngwale [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanaleta mtu hajawahi kupambana uwanjani aende kupambana na wale wanyama? jamaa kaona isiwe tabu kwanza ana watoto wadogo wanamtegemea na mkewe bado murembo asijeolewa tena ye akivuta kwenye nchi za ng'ambo 😅 😅 😅 yale majamaa sio Talebani
 
Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa.

Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia,"

Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa hayupo nchini Ukraine. Wapiganaji wengine wawili wa zamani wa Marekani waliopotea nchini Ukraine, Andy Huynh, 27 na Alexander Drueke, 39 wamezuiliwa na jeshi la Urusi.
Nakazi iendelee
 
Kwa latest report iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia,ni Mamia ya Mamluki wa US waliouawa na wengi wamekimbia vita!
Biden last week aliwaonya watu wake kutokwenda Ukrein maana kule sio Iraq wala Libya
 
Kwa latest report iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia,ni Mamia ya Mamluki wa US waliouawa na wengi wamekimbia vita!
Ni wengi walio fyekwa na makombola ya SKANDAL,hasa wale walio kuwa wana hifadhiwa kwenye kambi ya jeshi mpakani na Poland - hicho kilikuwa ni kituo/kambi kubwa ya kupokea askali wa kukodi kutoka mataifa ya magharibi na kuwasambazwa warfront baada ya kupewa silaha ndogo na ammunitions.

Kambi hiyo vilevile ilikuwa inatumika kuwapa mafunzo askali wa Ukraine jinsi ya kutumia silaha za magharibi specifically mizinga na manpad, mafunzo hayo yalitolewa na wakufunzi wa kijeshi kutoka Uingereza na Amerika - kwa kifupi kambi hiyo ya jeshi kwenye mji wa Lyviv ilikuwa imesheni wanajeshi wa kukodi,wakufunzi wa kijeshi kutoka US na Uingereza pamoja na wanajeshi wa Ukraine waliokuwa kwenye mafunzo ya kitumia silaha za magharibi - washauri wa kijeshi wa Zelensky walijidanganya kwa kudhani mji wa Lviv huko mbali sana si rahisi kushambuliwa na Urusi na kwa kuwa huko mpakani na Poland basi Urusi itaogopa kushambulia kambi hilo kwa kuhofia kwamba makombola yake yanaweza kukosea shabaha na kuipiga Poland kwa makosa na ku sababisha umoja wa NATO
kuishambulia Urusi wakitetea member mwenzao yaani Poland,hiyo ndio ilikuwa imani yao potofu.

Sasi nini kilifuata,baada ya Urusi kupata taarifa za kuaminika kuhusu kile kinacho endelea kwenye kambi hiyo ya kijeshi - asubuhi moja kwenye saa alfajiri ya saa kumi hivi Putin kavurumisha high precision cruise missiles na kusambaratisha kambi nzima killing almost wanajeshi wote waliokuwa wamelala kwenye kambi hilo walio nusurika walirudi mkuku makwao hawana hamu tena ya kushiriki kwenye Vita hisiyo kuwa na kichwa wala miguu!
 
Ni wengi walio fyekwa na makombola ya SKANDAL,hasa wale walio kuwa wana hifadhiwa kwenye kambi ya jeshi mpakani na Poland - hicho kilikuwa ni kituo/kambi kubwa ya kupokea askali wa kukodi kutoka mataifa ya magharibi na kuwasambazwa warfront baada ya kupewa silaha ndogo na ammunitions.

Kambi hiyo vilevile ilikuwa inatumika kuwapa mafunzo askali wa Ukraine jinsi ya kutumia silaha za magharibi specifically mizinga na manpad, mafunzo hayo yalitolewa na wakufunzi wa kijeshi kutoka Uingereza na Amerika - kwa kifupi kambi hiyo ya jeshi kwenye mji wa Lyviv ilikuwa imesheni wanajeshi wa kukodi,wakufunzi wa kijeshi kutoka US na Uingereza pamoja na wanajeshi wa Ukraine waliokuwa kwenye mafunzo ya kitumia silaha za magharibi - washauri wa kijeshi wa Zelensky walijidanganya kwa kudhani mji wa Lviv huko mbali sana si rahisi kushambuliwa na Urusi na kwa kuwa huko mpakani na Poland basiUrusiitaogopa
Msela nondo akatuma kombora hapohapo kwenye kisimi!?
 
Namwona TumainiEl alivyofura kwa hasira 😁

Mpaka Urusi anamaliza operesheni yake hiki kijamaa kitakuwa kimekondeana kwelikweli
 
[emoji3517]BREAKING: Takriban au zaidi ya wanajesh wa ukraine 500 wa Brigedi ya 59 wameuwawa baada ya workshop ya kutengeneza meli walipokuwa wamejificha uko Nikolaevk kuharibiwa vibaya na makombora.

Taarifa za awali kulikuwa na mamluki kama 30 wa [emoji631][emoji636] wameuwawa na wengine kujeruhiwa
 
Zaidi ya wanajesh 2000 wa Ukraine wewekwa mtu kati. Option ni mbili kujisalimisha au kuuwawa.
20220622_142728.jpg
 
Kwa latest report iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Russia,ni Mamia ya Mamluki wa US waliouawa na wengi wamekimbia vita!
Kumbe ni mamluki?... Nilidhani ni askari wa US wamekimbia vita.
 
Back
Top Bottom