Raia wa Zimbabwe abuni umeme unaotumia mawimbi ya redio tu

Raia wa Zimbabwe abuni umeme unaotumia mawimbi ya redio tu

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Ni ngumu sana sisi binadamu pale ukielezwa teknolojia huko mbeleni itakuwa hivi au kitakuwa hivi kwa sababu tujakiona wala kuhamini kipo.

Kuna uzi fulani nilishawahi kueleza kuhusu umeme unaojizalisha wenyewe. Lakini ikaonekana kama JOKE na kushambuliwa sana.

Kutoka Zimbabwe kwa bwana Maxwell Chikumbutso amejaribu kuonesha dunia kwa kutengeneza mfumo wa janereta inayoweza kuzalisha umeme binafsi kwa kutumia mfumo wa mawimbi ya redio kwa njia ya yenye ufanano wa sambamba kwenye WIFi na bluetooth.

Mashine hii aitaji kutumia umeme wa ziada wala vyanzo vengine kama solar au betry.

Teknolojia hii itakuwa ya kwanza hapa afrika na dunia nzima.

========

Zimbabwean inventor Maxwell Chikumbutso has reportedly created a radio-frequency powered television. This means that there is no power cable and the TV is powered purely by radio waves similar to WiFi and Bluetooth.

“With an RF-powered generator embedded on a TV set, it is now possible for many people to enjoy watching TV whilst they are off-grid. For me, this started off as a dream in 2003, but today it’s now a reality. We have successfully developed a solution that powers televisions, smartphones, laptop computers, fridges just to name a few.

“Goodbye to electric wired home appliances. Welcome to the future with the world’s first Free Energy powered 55″ UHD Samsung TV. The dawn of wireless self-powered gadgets is here!”

Maxwell Chikumbutso via The Herald
The concept isn’t new because Samsung debuted a radio-frequency powered TV remote at CES 2022 which also has a small solar panel on the back. However, what Maxwell Chikumbutso has done, if true, could mean that conventional electrical infrastructure is a thing of the past because it will all be antenna arrays. TVs, smartphones and all other devices will be radio frequency powered

But is this even possible?

IMG_5593.jpg
 
Mabeberu yatamla kichwa au yatampa pesa ndefu auze/aachane na huo mpango wake.
 
Serikali ingemkumbatia sana huyo Jamaa,awezeshwe kufanya mambo kwa ukubwa sana,akiweza awe na kiwanda ili azalishe zaidi.

Hapo soko kubwa hasa kwa Afrika ambapo hakuna uhakika wa umeme,vinginevyo atanunuliwa na wazungu hilo wazo lake alipwe hela iwe ndio basi tena.
 
Miaka mingi nyuma Tesla aliwahi kutoa wazo na akaanza kujenga mnara ambao utasuply umeme dunia nzima kwa kutumia mawimbi....unachomeka antenna nje then umeme huo ...wakubwa wakambana na mwisho wakamuua...na ukawa mwisho...
 
Hio si tech mpya, Nokia did that Long time ago uzi niliwahi kuleta humu.

Swali la muhimu, anavuna umeme kiasi gani kwenye Radio waves?
 
A Zimbabwe Inventor Has Created The 1st Ever Self-Powered TV That Requires No Electrical Connection​

Hio si tech mpya, Nokia did that Long time ago uzi niliwahi kuleta humu.

Swali la muhimu, anavuna umeme kiasi gani kwenye Radio waves?
mkuu hiyo nokia ulimaanisha nikola ama ?
 
Afrika wakivumbua things, ghafla kinatoweka hata kukisikia tu hamna 🤣 wakati weupe wakivumbua kitu hapohapo kinafanyiwa kazi.
 
hapo mabeberu watampa hata milioni 50 aihamishie kwao ionekane wao ndio waligundua, baada ya hapo mabeberu yanatia hata bilioni 5 kwajili ya Research and Design kufanyia utafiti wa kina na maboresho, Baada ya hapo huko mbele hao hao wazimbabwe wataanza kununua vifaa vya mabeberu vinavyotumia hio teknolojia huku beberu likipiga pesa.
 
Hio si tech mpya, Nokia did that Long time ago uzi niliwahi kuleta humu.

Swali la muhimu, anavuna umeme kiasi gani kwenye Radio waves?
Tatizo ni kwamba kabla hujasema ni ubunifu lazima uwe umepitia literature review za kutosha ambazo zitakuridhisha 100 Ubunifu ulioufanya haijawahi fanyika kabisa au hata kama imefanyika ni wapi walifeli na wewe ilo gap una lizibaje

Alafu bunifu nzuri ziko nyingi Ila iwe adopt in large scale ndo changamoto nyingi zinafeli hapo
 
hapo mabeberu watampa hata milioni 50 aihamishie kwao ionekane wao ndio waligundua, baada ya hapo mabeberu yanatia hata bilioni 5 kwajili ya Research and Design kufanyia utafiti wa kina na maboresho, Baada ya hapo huko mbele hao hao wazimbabwe wataanza kununua vifaa vya mabeberu vinavyotumia hio teknolojia huku beberu likipiga pesa.
Umeshambiwa Nokia wameshafanya tayari tatizo kubwa waafrika hatupendi kusoma ni rahisi sana kumdanganya mwafrika sababu hapendi kusoma

Kabla hujasema huu ni Ubunifu lazima upitie literature review ili ujiridhishe hakuna aliyewahi kufanya au hata atakama alifanya alifail wapi na wewe una fill vipi hilo gap
 
Tatizo ni kwamba kabla hujasema ni ubunifu lazima uwe umepitia literature review za kutosha ambazo zitakuridhisha 100 Ubunifu ulioufanya haijawahi fanyika kabisa au hata kama imefanyika ni wapi walifeli na wewe ilo gap una lizibaje

Alafu bunifu nzuri ziko nyingi Ila iwe adopt in large scale ndo changamoto nyingi zinafeli hapo
Inawezekana ikawa ni Ubunifu tukijua anavuna Kiasi gani cha umeme, ila kwa Hio video niliyoiona jamaa anaonekana ni Tapeli na sio mwanasayansi, sababu ame base zaidi kwenye kuvutia bidhaa yake kama Marketing manager kuliko kuelezea Tech husika.

The same Guy aliclaim ametengeneza Gari lisilochaji kwa Kuvuna umeme kwa same style, ukiingia website yake eti anaiuza hio tech kwa dola 499.
 
Back
Top Bottom