Raia wa Zimbabwe abuni umeme unaotumia mawimbi ya redio tu

Raia wa Zimbabwe abuni umeme unaotumia mawimbi ya redio tu

Kwahiyo wanaenda kutuongezea formula tena ya Chikumbutso kwenye womo letu pendwa siyo!
 
Inawezekana ikawa ni Ubunifu tukijua anavuna Kiasi gani cha umeme, ila kwa Hio video niliyoiona jamaa anaonekana ni Tapeli na sio mwanasayansi, sababu ame base zaidi kwenye kuvutia bidhaa yake kama Marketing manager kuliko kuelezea Tech husika.

The same Guy aliclaim ametengeneza Gari lisilochaji kwa Kuvuna umeme kwa same style, ukiingia website yake eti anaiuza hio tech kwa dola 499.
Mambo sio marahisi kama wengi wanavyodhan, tatizo kubwa watu wanawekeza kwenye PR kuliko kwenye technical which is scientific term

Unajua mambo mengi tunayowaza wazungu walishawazaga mda sana ndo changamoto kubwa inayotukumba waafrika
 
bwana chikumbutso ujiandae kwa haya:- 1.ulazmishwe kuachana na utafiti kwa kupewa faranga kiduchu.

2.kama ukigoma namba 1,Basi ufanyiwe figisu na wizala ya tech.ya nchi yako mpaka ukate tamaa.

3.kama namba 2 utafauru kupambana,Basi upewe ugonjwa usiojulikana ambao utakumaliza wthn few months kabla hujapiga hatua zaidi kwenye uvumbuzi wako.

4.kama utafauru namba 3,Basi jiandae kuambiwa wewe sio raia wa nch yako ,ni mkimbizi na na huna hati ya uraia iliyo halali.
 
Back
Top Bottom