Inawezekana ikawa ni Ubunifu tukijua anavuna Kiasi gani cha umeme, ila kwa Hio video niliyoiona jamaa anaonekana ni Tapeli na sio mwanasayansi, sababu ame base zaidi kwenye kuvutia bidhaa yake kama Marketing manager kuliko kuelezea Tech husika.
The same Guy aliclaim ametengeneza Gari lisilochaji kwa Kuvuna umeme kwa same style, ukiingia website yake eti anaiuza hio tech kwa dola 499.