Raia wamecharuka, Iweje Ronaldo ale pesa nyingi

wafanyakazi wa azam wanalipwa laki unusu.. ila wachezaji azam mamilioni ia hawagomi.. wapi wafanyakazi wa mohamed enterprises mshahara laki moja.. huku simba wanalipa watu milioni 10 kwa mwezi.. wapi manji na yanga na quality group staff
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwani malipo ya Ronaldo inawahusu nini, wao wapambane tu na hali yao. Btw hivi Fiat bado ina-exist.
 
Kwani Ronaldo mchezaji? Si mmaliziaji tu kama mastriker wengine!
Braza mchezaji kama ronaldo hato kuja kutokea

Ana kila uwezo unao ujua wewe si kichwa si kulia si kushoto si stamina si speed si dribble vyote anavyo kama umemuona toka utotoni mwake utakua shaidi

Na kama kuna mchezaji alishakua na vigezo vyote hapo juu ukmtoa pele si vbaya ukinifahamisha .
 
Unaongea kimapenzi sana..
Nadhani uanze kutumia ubongo zaidi ya moyo kwanza
 
Unaongea kimapenzi sana..
Nadhani uanze kutumia ubongo zaidi ya moyo kwanza
Kivipi mwamba

Nmemtumia ubongo na sijaona kama yupo mwenye uwezo kama uo

Si vbaya ukmtaja wako mimi Hua nafata ukweli ulipo kama kamzidi ivo vigezo ya nini nimpambe cr7
 
Kivipi mwamba

Nmemtumia ubongo na sijaona kama yupo mwenye uwezo kama uo

Si vbaya ukmtaja wako mimi Hua nafata ukweli ulipo kama kamzidi ivo vigezo ya nini nimpambe cr7
Ni kweli moyo ukipenda macho hayaoni kabisa.. [emoji4] [emoji4] ila sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…